- Thread starter
- #81
Asante sanahata sijui nikueleze kivp vp yani, kwa ufupi yani kuwa MWANAUME HALISI.
A real GENTLEMAN knows what he wants and how to get it,
jichunguze unaishije, unavaaje, unaongeaje, na mengine mengi kama hayo pia jaribu kujiangalia kama unafanana na vijana hawa wa miaka 15-26 (approxmately)....wanajiita sijui wanaitwa masharobaro!
mwanamke anaweza kuvutiwa na wewe kwa kitu kidogo sana na ukajikuta hutumii nguvu wala pesa.