Single girls mko wapi? KIla ninayemtongoza anasema ana mtu

Single girls mko wapi? KIla ninayemtongoza anasema ana mtu

Joel360

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
986
Reaction score
657
Habari zenu ndugu zangu.

Mimi ni single boy, ila maisha ya kuwa single yamenichosha maana umri nao umeenda. Nimetongoza mara 5 mpaka sasa na ni girls watano tofauti ila wote wananiambia "MIMI NNA MTU WANGU".

Katika watano hao wawili nafanya nao kazi, mmoja nasali nae church na wawii ni wahapa mtaani.

Sasa jamani mi naomba kuuliza; single girls wako wapi na naweza nikawagunduaje maana kila nnaetongoza ananambia ana mtu tayari.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom