- Thread starter
- #121
Nashkuru kwa ushaur ila mimi siamini kama Mapenzi ni pesaPole my ukwel akuna single gar ispokuw mtu anaez jiit single gar ili kupamban na soko la uchunaji kwa ma men's ata ivo inawezekan kabisa ww ukawa maybe hauna mvuto ilo ni sababu maybe nuksi au mikosi au ni mbahili unatongoz Bila kuhonga mshiko [emoji23][emoji23][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108] unategmea nn
Jalibu kuonga uone acha ubahili watoto wa dar wanamind mshiko ukisema ukaoe wa vijijin kalibu wote wachawi so pambana