Single girls mko wapi? KIla ninayemtongoza anasema ana mtu

Single girls mko wapi? KIla ninayemtongoza anasema ana mtu

Sio tangazo hilo, mi naomba ushauri hapo.
Wenye IQ kubwa tunaelewa zaidi ya maandishi yako yanavyosema ngoja nidadavue ,umezungumzia Kwenda church hiyo ni market strategy kuwa we ni mcha Mungu,ukazungumzia unaofanya nao kazi hii ina manisha we una ajira ambayo ni urimbo kwa wanawake wa siku hizi haswa enzi hizi za jpm so nakutakia kilala heri kwenye tangazo lako.
 
Hahahahaa Sawa Kaka, ila mi sikumaanisha hivyo. Karibu kunishauri
 
HAKUNA DEMU SINGLE. MWANAUME MMOJA ANA WANAWAKE 10 HAWAJUANI, LAKIN WOTE WATASEMA WANA MTU.

MWANAMKE M1 ANA WANAUME 10, ATAKUAMBIA ANA MTU.

LAKINI NIKUCHEKESHE SASA

WANAUME WOTE TUPO SINGLE ILA WANAWAKE WOTE WANA WATU. AHAH

TAFUTA HELA MKUU, NUNUA NA USAFIRI, HALAFU WARUDIE HAO WATANO.

NAKUAHD, WOTE UTAWATAFUNA.
 
Sasa hivi mapenzi sio uwezo wa kutongoza au utanashati, pesa iwe ipo vinginevyo utamaliza soli za viatu kwa miseli isiyo na faida.
Ungekuwa na ka~vitz tu wangeingia kama mbu hata ungeshindwa kuchagua.
 
Karibu kila demu ana mtu wake,lakini wengi wao hawana furaha kwenye mahusiano yao,kwa hiyo ukiweza kuingia vizuri na ukampa furaha ya Moyo lazima atamuacha huyo jamaa yake
Kama hakupi hata nafasi ya kuwa karibu nae utafanyaje?
 
Back
Top Bottom