six Finger
New Member
- Sep 18, 2017
- 4
- 3
Uschoke endelea kufukuzia
kwahiyo kaka hakuna upendo bila pesa?HAKUNA DEMU SINGLE. MWANAUME MMOJA ANA WANAWAKE 10 HAWAJUANI, LAKIN WOTE WATASEMA WANA MTU.
MWANAMKE M1 ANA WANAUME 10, ATAKUAMBIA ANA MTU.
LAKINI NIKUCHEKESHE SASA
WANAUME WOTE TUPO SINGLE ILA WANAWAKE WOTE WANA WATU. AHAH
TAFUTA HELA MKUU, NUNUA NA USAFIRI, HALAFU WARUDIE HAO WATANO.
NAKUAHD, WOTE UTAWATAFUNA.
Kaka unachekesha sanaSasa hivi mapenzi sio uwezo wa kutongoza au utanashati, pesa iwe ipo vinginevyo utamaliza soli za viatu kwa miseli isiyo na faida.
Ungekuwa na ka~vitz tu wangeingia kama mbu hata ungeshindwa kuchagua.
Utafukuzia girl wa mtu?Uschoke endelea kufukuzia
Inabidi wanaume wenzangu mue na mwanamke mmoja mmoja ili na sisi wenzenu tupate.Uschoke kazanatu kwasabab hakuna namna
usimforce kama unataka awe wako kilazima ss, kuna technique za kumfanya mwanamke akupende hata kama ana mtu wake, japo sio vizuri kuendelea kumfatilia kama amekwambia anamtu wake.Girl ukimforce sana anabadili hata njia akikuona.
Mkuu hujaielewa post yanguMke bora huwezi mpata mtandaoni
Una boifrend..umeolewa..ulishakua kwenye mahusiano mara ngapi na nani.? Hayo maswali mtoto wakiume hutakiwi kuuliza..labda ajipendekeze yeye kuyasema..its non of your biz.Maswali gani kaka?
Teach me more about techniques brousimforce kama unataka awe wako kilazima ss, kuna technique za kumfanya mwanamke akupende hata kama ana mtu wake, japo sio vizuri kuendelea kumfatilia kama amekwambia anamtu wake.
kubali kuwa mjinga mwanzoni uku ukiendelea kumsoma msimamo wake....kuna point ukiweza kuifikia utatulia tu na yeye ndio ataanza kukusumbua,
NB: wakati mwingine ni kawaida yao kusema wako na mtu ili kukuPush-away...just read her mind well and u'll get her.
nisubiri jambo gani mkuu?Mwanamke single hakuna, hata aliye na mtu kuna wengine wanasubiria, na bado anatongozwa upya kila siku. kwa hiyo hapo umeingia kwenye waiting list, vuta subira, kaza kamba, kuwa mbunifu.
Nimekuelewa mkuu. Kuna jambo jingine unaweza nishauri?Una boifrend..umeolewa..ulishakua kwenye mahusiano mara ngapi na nani.? Hayo maswali mtoto wakiume hutakiwi kuuliza..labda ajipendekeze yeye kuyasema..its non of your biz.
ten usithubutu kutoa ela wakati upo kwenye process ya kutaka mwanamke serious, ukionyesha kutumia ela sana atahisi huna uwezo wa kumshawishi zaidi ya kutumia ela,Sasa ndugu utatoa pesa wakati wa kutongoza?
Noted!Wakati wa kutafuna samaki muangalie miba, ugonjwa wa ini na ukimwi
Asante kwa ushauri mkuuten usithubutu kutoa ela wakati upo kwenye process ya kutaka mwanamke serious, ukionyesha kutumia ela sana atahisi huna uwezo wa kumshawishi zaidi ya kutumia ela,
lakin kama ndo unataka girlfriend sijui for one night stand tumia ela, japo wanatofautiana sana....
hawaeleweki hawa viumbe aisee...