SINGIDA: Basi la Mohammed Trans lapata ajali, watu kadhaa wafariki dunia

Hii kampuni ndio kwanza inaanza safari za Tanga kwenda Shinyanga..haina muda mrefu..kwa njia ile ya kati wengi wanazijua muda mrefu..hazina CV nzuri...by the way Mungu awaweke panapostahili marehemu wote
 
Zilerte ZAOO APANDI MTU KABISA
 
Akipandaa mtuuwapigadebe wanawambiaaa akikishen mnavitambulisho msitupeshida kuwatambua loh
 
Eee Mungu baba muumba wa ardhi na mbingu na vitu vyote vinavyoonekana na visivyo onekana nakuomba uwasamehe marehemu makosa yao waliyotenda hapa ulimwenguni uwalaze pahala pema peponi
 
Imefika pahala tunaogopa kusafiri sasa! Eeh Bwana Mungu wa majeshi tulinde. Pole kwa wafiwa wote na majeruhi.
 
Back
Top Bottom