SINGIDA: Basi la Mohammed Trans lapata ajali, watu kadhaa wafariki dunia

SINGIDA: Basi la Mohammed Trans lapata ajali, watu kadhaa wafariki dunia

Mwendokasi chanzo huwa ni abiria mara zote mkuu.

Nimesafiri na haya mabasi mara kadhaa dereva akienda mwendo wa kawaida wana-force afunguke barabara ni yake.

Ila yakitokea haya bas dereva chambo
Nani mwenye maamuzi ya mwisho ya kubadili Magia na kuknyaga mafuta?
Abiria wakikulazimisha kukimbia wee Nenda taratibu tu, hawatakupiga
 
Dereva nuksi kweli kapiga pale kwa konda na keyboot
Ndivyo walivyo,akiona kinanuka anapeleka kwa konda.
Kuna ajali ilitokea Kisangara Mwanga miaka ya nyuma basi liligongana na semi,dereva wa semi alivyoona hapa ni uso kwa macho akaingiza kichwa porini basi likavaana na tela.

Mola awarehemu walifariki na awape subira wafiwa.
 
Back
Top Bottom