SINGIDA: Basi la Mohammed Trans lapata ajali, watu kadhaa wafariki dunia

Ni walimu ambao wanajiendeleza kimasomo na walikodi gari pamoja kutoka chuoni tanga baada ya kumaliza mitihani yao
 
Amen! Hizi ajari hata sijui suluhisho halisi ni nini jamani.
 
Imefika pahala tunaogopa kusafiri sasa! Eeh Bwana Mungu wa majeshi tulinde. Pole kwa wafiwa wote na majeruhi.
Ukiwa garini ni sawa na kuingizwa ICU tu, uko njia panda ya kupendwa zaidi na Mungu au wanadamu.
 
Ni kweli kabisa mkuu mwanzo nilifikiri ndege ni solution ila yalipoanza matukio yakupotea ndege mara kupata ajali nikahuzunika sana. Kimbilio lililobaki kwa wanadamu ni damu ya Yesu tu huko kwingine hata ufanyeje wakitaka kukukamata wanakukamata simple tu.
 
Poa mkuu! Ila umenichekesha sana mkuu! Mi nataka nisafiri salama nifike Dar toka huku Bariadi, we unaniamba damu ya Yesu! Nimechekaje hapa. Mambo ya kiimani zaidi haya, nitayazingatia mkuu.
 
Ipo siku utajua thamani ya damu ya Yesu wa Nazarethi.
 
Back
Top Bottom