Sinema tosha mauaji ya bilionea Msuya

Sinema tosha mauaji ya bilionea Msuya

Hii case kuna mengi mnaongea ila mahakama imetenda haki yke,hivi sharif kwa pesa zke atumwe kuua mtu na atende,dili yote imefanywa na watu wake wote hata mredii ni mtu wke sana sharif
hivi zile shamo tower za mbezi beach ni za sharifu ?
 
Tatizo wanawaamini sana waganga wao.. yale yale ya maji maji war
 
Hii case kuna mengi mnaongea ila mahakama imetenda haki yke,hivi sharif kwa pesa zke atumwe kuua mtu na atende,dili yote imefanywa na watu wake wote hata mredii ni mtu wke sana sharif
Kwahiyo Sharif anamsingizia chusa kaka haya mambo haya
 
Aiseee
Hii case ilikamata watu wengi tu ila ambazo hawakuhusika wakaachiwa,kuna mmasai nyoka wa sharifu ndio hizo line ziliandikwa jina lake alipewa kibano mpka kuvunjwa mguu,hakua anajua chochote alivyoachiwa magereza hakuwahi kuonekana mererani karudi bush kwao tena alisilimu akiwa na sharifu.
Ila kwasasa amerudi kwenye imani yke hata mererani kapasahau
 
Una maana Chusa au Sharifu? Rudia kusoma.
Chussa nasikia hahusiki muulizw Twenty 4seven( Sharifu kamsingizia tu kwa kuangalia mazingira ya aliowatumia wote nyoka wake( Watu wa migodini Ndo tu najua mambo ya nyoka we nyamaza)
Halafu Pesa za kuwahobfaz wauaji Mbona nilikuwa za Sharifu hakuna alipoaema Chussa alimmwagiA akachukue au kwa Mkewe au Bank.
Kumbuka yote yanatokea Chusa yupo Lupango kwa kesi ingine ya Kuua MTU)
Ina Maana A look alabai ( Alibi) kwake haikuwepo
Na hao hawezi kuepuka kifo au maisha jela zile Laini za Simu Tells everything and it was Detailed.
Mkuu kuuliza sio ujinga,alibi ni nini?
 
Katika huu mkasa mimi naona kosa la kwanza kabisa walilolifanya hawa wauwaji ni kumuacha hai Huyo kijana wa kimasai alikuwa eneo la tukio, nadhani walifanya hivyo ili wasiue watu wengi zaidi Na kulifanya swala kuwa kubwa zaidi lakini katika sura nyingine hili lilikuwa ni tatizo kubwa sana.


Lakini katika upande mwingine muhusika alimaliza mission katika mazingira ambayo watu wengi sana walimuona ( wauwaji wenzie ) hii ilifanya kila mmoja kuwa shahidi , kama unavyo juwa ili jamii tunayoishi ikamilike lazima wazembe wawepo ( hivyo hata katika hiyo mission wazembe wenye mioyo ya ukatilii walikuwepo tu ) . Hivyo kukamatwa kwa mzembe mmoja tu inatosha kabisa kuwakata wote waliosika

Mwisho kabisa sifa zote ziliendee jeshi la polisi kwa kukamilisha mission ngumu na kupelekea haki kutendeka. Hii kwa kiasi Fulani inaweza kurudisha imani na heshima kwa jeshi letu la polisi
Huyo kijana wa kimasai alitoa ushahidi mahakamani?
 
hapa nawapa PONGEZI polisi, ila naomba kitu kimoja muboreshe, MNAPOKAMATA majambazi, msiishie kutuonyesha bunduki na RISASI, ni kosa la kimkakati, wenzenu nchi zilizoendelea tukio likitokea unakuta baada ya muda mfupi taarifa za mhalifu zinaonekana, urefu, rangi, asili, umri n.k, hii inaisaidia JAMII kuwa MAKINI na huyo mtu, lakini hata mhalifu anajirekebisha. MSIISHIE kuonyesha bunduki na visu tu
That's true
 
We nae unajifanya unajua kumbe hujui lolote.
Unajua chanzo cha Osama kukamatwa kilianzia wapi...
Unajua wali-trace vipi ile nyumba Abottabad alokua anakaa Osama pale Pakistan...
Kwa taarifa yako bila yule assistant wa Osama alokua anaenda sokoni kununua mahitaji asingekua anatumia simu mpaka leo hii Osama asingejulikana alipo.
Mkuu nipe details kidogo kuhusu hii ya Osama, sijawahi kuipata hii
 
Duuuh nimeamini Jeshi la Polisi wanafanya kazi, wanao beza hili jeshi hawajapata matatizo
uzembe wa watuhumiwa tu, unafanya mauaji alafu waendelea kutumia namba na simu ile ile eti unawasha na kuzima upuuzi gani huu
 
Kumekucha!!!! Sasa kafanyeni kazi kwenye ALIBI zenu , mjadala utaendelea saa 7 mchana lunch time!!
Hivi hii neno ALIBI maana yake nn? Sijawahi kusikia likitamkwa hata kwenye kesi zingine za mauaji!!! Kesi hii police wameweka mbwembwe za Hatareeee!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wadau naombeni jibu?
Hata zile crime and investigation channels huangaliagi? Mbona ni neno common sana
 
Back
Top Bottom