Sinema tosha mauaji ya bilionea Msuya

Sinema tosha mauaji ya bilionea Msuya

Duuuh nimeamini Jeshi la Polisi wanafanya kazi, wanao beza hili jeshi hawajapata matatizo
Ni kweli mkuu, vyombo vya dola vinafanya kazi mno, hao wanaokebehi hiyo ni katika kufanya siasa tu mkuu, lakini moyoni kabisa wanajua kuwa hawa ndugu wanafanya kazi. Kwa hili na mengine mengi, tuwapongeze mkuu.
 
Ukitaka fanya uharifu, nunua line mpya fanya uharifu tupa simu na line..
Hili ni jambo kubwa sana ambalo waharifu wengi wanaingia mtegoni kirahisi sana. Simu! Wacha kutupa tu, hata watu wako wa karibu usijaribu kuwasiliana nao kwa namba mpya (hata kama umebadilisha both handset na line). Pona yako ni kuacha kabisa kutumia simu yoyote kufanya mawasiliano na yoyote. Nje ya hapo ukipata polisi wapelelezi smart lazima wakudakue tu.

Na waganga wa kienyeji wengi ni mashushu pia. Kuna mtu aliwahi kunambia hata wachungaji/mapadre ambao tunaweza kuwaamini tukaenda kuungama kwao (kwa namna yoyote ile) wengine ni mashushushu.

Kuepuka yote hayo ni kuwa raia mwema tu.
 
Nimependa sana ulipomalizia.
Kwamba ni bora kuwa raia mwema ila usiwe mnyonge tu
 
Hili ni jambo kubwa sana ambalo waharifu wengi wanaingia mtegoni kirahisi sana. Simu! Wacha kutupa tu, hata watu wako wa karibu usijaribu kuwasiliana nao kwa namba mpya (hata kama umebadilisha both handset na line). Pona yako ni kuacha kabisa kutumia simu yoyote kufanya mawasiliano na yoyote. Nje ya hapo ukipata polisi wapelelezi smart lazima wakudakue tu.

Na waganga wa kienyeji wengi ni mashushu pia. Kuna mtu aliwahi kunambia hata wachungaji/mapadre ambao tunaweza kuwaamini tukaenda kuungama kwao (kwa namna yoyote ile) wengine ni mashushushu.

Kuepuka yote hayo ni kuwa raia mwema tu.
kwani hawaangaliagi series za kijasusi "" Jack Bauer" alikuwa akitumia simu anaitupa"" kabisaaa
 
Dah! Kweli hii ni bonge la riwaya! But ni kweli haki imetendeka?
kwa haki iliyopatikana kwa mujibu wa sheria imepatikana lakini haki anayo MUNGU ni kazi kujua ukweli kwa kuwa hapa ni wanasheria wanashindana kwa vifungu na ushahidi.
 
Jamani kwa hiyo kwenye hii case Chusa kachoka si ndio!?
 
Back
Top Bottom