eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,804
- 16,475
Hahaaaa![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huwa sipigi hovyo hovyo
Kijana wangu nakushauri, kuanzia leo usiwe na mtazamo wa kulipiza kisasi, hasa kuua kwani imeandikwa kisasi ni chake Yeye ahukumuye kwa haki. Pia imeandikwa ahukumuye kwa upanga atahukumiwa kwa upanga. Hayo mapungufu unayoyaona kwa wauaji hawa, kwako yatakuwa dhahiri hata ZAIDI.