MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 6,230
- 3,942
Hawawezi! Story wanayo, kuact ndio shughuli! Utawalaumu bure.Bongo movie washindwe wao story kali aisee japo imempoteza mtz mwenzetu rip
Hawawezi! Story wanayo, kuact ndio shughuli! Utawalaumu bure.Bongo movie washindwe wao story kali aisee japo imempoteza mtz mwenzetu rip
Mitaa gani hiyo mnakaa na jambaziHapa nilipo sasa kuna jirani yangu kafanya ujambazi na mauaji Dar kakimbilia huku laini na simu kutupa huko,wenzie washapigwa shaba.
Hiyo simu ilikua imesajiliwa na kijana wa kimasai alikua anapewa mawe na sharif,mpka akasilimishwa kua muislam ila kibao alichopewa police alitoka kawa kilema na kurudi kwenye dini yake na mpka leo yuko kijijini...hataki kusikia mererani[emoji16][emoji16]Mawasiliano ya simu kaka, walitrace mawasiliano ya mwisho ya marehemu, simu hizi tunazipenda na ni nzuri kwa matendo mazuri tu
Waganga wa kienyeji wamepoteza watu wengi sana. Toka enzi za Kinjekitile mpaka leo hii.Sazingine wapelelezi hufanya kazi yao vzuri sana.
Kwa mfano katika kesi hii, kuna mshitakiwa alinaswa kwa mganga wa kienyeji akioga 'ndagu' za kuzuia kukamatwa.
Kumbe kati ya wale wateja wenziye aliokuwa nao pale walikuwa ni polisi wakimfuatilia.
Tatizo linakuja kwa waandaaji wa mashitaka. Wale wakihongwa hujifanya mambumbumbu na kuacha mianya kibao ya kisheria, inayompa taafifu mtuhumiwa kwenye hukumu.
Hata kesi hii, nina wasiwasi sana matokeo yavrufaa, kama washitakiwa watakata rufaa, tunaweza kusikia mengine.
Na sio ametumwa na Marehemu Msuya mwenyewe?Usikute huyo Chusa katumwa na mke wa Msuya
Mzee wewe unaona sawa kuua?Una mkodi mrundi/ mzambia/ mkongo anakuja amafanya yake unamlipa unamsaidia kutokea namanga kwao hamna kujuana kazi imeisha.