Sinema tosha mauaji ya bilionea Msuya

Sinema tosha mauaji ya bilionea Msuya

Hapana siyo hivyo....

Soma haya maelezo ya ushahidi yaliyotolewa mahakamani na shahidi wa Jamhuri.....

Chilumba ambaye alikuwa kiongozi wa timu ya mawasiliano ya kimtandao (Cyber), alidai mahakamani jana kuwa timu yake ndiyo iliyobaini uwapo wa namba ya mwisho iliyowasiliana na marehemu.

Akiongozwa na wakili mwandamizi wa Serikali, Abdallah Chavulla kutoa ushahidi wake, shahidi huyo alidai baada ya kufanikiwa kuondoa neno la siri katika simu za marehemu, walikuta SMS mbili.

Kwa mujibu wa shahidi huyo, baada ya kufungua simu mojawapo ya marehemu, walikuta SMS hizo zikiwa zimetumwa kupitia namba ya mtandao wa Airtel siku moja kabla ya mauaji na siku ya mauaji.

“Ujumbe wa kwanza ulitumwa tarehe 6/8/2013 ukimjulisha (marehemu) kuwa ‘nina riziki’ na ujumbe wa tarehe 7/8/2013 saa nne au saa tano hivi ulisema niko Kia nakusubiri hapa,” alidai shahidi huyo na kuongeza:

“Tulianza kufuatilia ujumbe huo (wa tarehe 7/8.2013) ambao ndiyo ulikuwa wa mwisho kwenye simu ya marehemu na saa chache baadaye akauawa. Tuliandika barua Airtel kupata taarifa zake.”

Katika barua hiyo, shahidi huyo alidai waliiomba kampuni ya Airtel kuwapa taarifa mmiliki wa laini hiyo ya simu, ilikosajiliwa na kwa wakati huo ilikuwa ikisomeka eneo gani.

Alidai kuwa majibu ya Airtel yalionyesha kuwa laini hiyo ilikuwa imesajiliwa Arusha Agosti 3, 2013 kwa jina la Motii Mongululu lakini wakati huo haikuwa tena hewani.

“Walituambia baada ya kusajiliwa, laini hiyo ilifanya mawasiliano na namba nne tu na wakatuambia iliwahi kuchomekwa kwenye handset (simu) ambayo inatumia namba nyingine,” alidai na kuongeza:

“Tulifanikiwa kumkamata dada mmoja pale Arusha kituo kikuu cha mabasi anaitwa Hamisa (Kassim), ambaye ndiye mwenye hiyo namba, ambaye alikumbuka kusajili line kwa jina la Motii Mongululu.”

Hata hivyo, shahidi huyo alidai katika mahojiano, Hamisa aliwaeleza kuwa alisajili laini hiyo kwa maelekezo ya wakala mwenzake aliyemtaja kuwa ni Aneth Shija ambaye naye alikamatwa.

“Aneth alikiri ndiye aliyempa maelekezo Hamisa kusajili hiyo laini na nyingine mbili na kwamba, alizisajili kwa maelekezo ya mtu aliyemtaja kuwa ni Adam ambaye ni kijana wa kimasai,” alieleza.

Shahidi huyo alidai kupitia kwa Aneth walifanikiwa kupata namba ya Adam ambaye alikamatwa Mirerani, lakini naye akadai aliagizwa na mshtakiwa wa tatu, Mussa Mangu kusajili laini hizo.

Mkaguzi huyo wa polisi aliieleza mahakama kuwa baada ya Mangu kukamatwa na kuhojiwa, alikiri kusajili laini hizo za simu lakini naye akadai kuwa alitumwa na mshtakiwa wa kwanza, Sharifu.

“Alituambia maelekezo ya kusajili laini na kununua simu alipewa na bosi wake aliyemtaja kuwa ni Sharifu Mohamed. Alitueleza kuwa kwa ufahamu wake, yote yalikuwa ni maandalizi ya mauaji.

“Siku hiyo hiyo tulimkamata Sharifu nyumbani kwake na katika mahojiano ya awali alimtambua Mussa kama mfanyakazi wake na kukiri vitu vyote vilivyonunuliwa naye vilikuwa maelekezo yake,” alieleza.
Kwa maelezo haya na mlolongo huo wa watu + watendaji ( wahusika,watekelezaji) lzm wangefeli tu
 
Hawa walikuwa wanajifunza kufanya mauaji...kulikuwa na umuhimu gani kuwasiliana navictim, kwann wasingemviza kama alivyofanyiwa Lissu.
 
Okaay asante mkuu, kama kweli kahusika basi ni smart sana.
Kila mtu anaongea yke ila hii case angehusika nani lazma angefungwa tu,kulikua na upelelezi mzito sana wa watu wengi wa madini waliitwa kuhojiwa na kuachiwa,ila mhusika alipatikana kwa ujinga wa kutoa roho ya mtu,.angekua pesa ndio inatumika sharifu angetoka na kumuacha chusa
 
Nakuamini Mkuu, hakuna namna wafungwe tu kutoa roho ya mtu ni kitendo cha kikatili sana.
 
Kosa lilikua hapo laini ilisajiliwa lakini ilitumika kwny simu ambayo ina namba ingine...
Wauaji siku zote hufanya mistake kwny mpango kwa kujua au kutokujua
 
Hapo wauaji na waandaji ndio wapuuzi na wajinga
Polisi wao wametumia nguvu, mateso hadi wakatajana. Sharif angetafuta kijana mmoja tu mambo yote yakaishia getini, hapakuwa na haja ya kwenda kia.

Japo Sharif atachomoka
 
Kila mtu anaongea yke ila hii case angehusika nani lazma angefungwa tu,kulikua na upelelezi mzito sana wa watu wengi wa madini waliitwa kuhojiwa na kuachiwa,ila mhusika alipatikana kwa ujinga wa kutoa roho ya mtu,.angekua pesa ndio inatumika sharifu angetoka na kumuacha chusa
Sinaga hofu wala mashaka juu ya maelezo yako Mkuu

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Hapo wauaji na waandaji ndio wapuuzi na wajinga
Polisi wao wametumia nguvu, mateso hadi wakatajana. Sharif angetafuta kijana mmoja tu mambo yote yakaishia getini, hapakuwa na haja ya kwenda kia.

Japo Sharif atachomoka
Hii case angechomoka kitambo ila yeye ndio mhusika mkuu hachomoki,hii case imepandisha watu vyeo aliekua rco wa moshi alipanda kua rpc znz,aliekua rpc moshi akawa DCI,alietoa hukumu keshahamia dar sijui nafasi gani
 
imenikumbusha enzi zile nasoma vitabu vya Elvis Musiba R.I.P. kama kikomo, kikosi cha kisasi, uchu najua wengi hawajakisoma hiki ni baada ya mauaji ya kimbari ya Rwanda na vinginevyo vingi jinsi Willy Gamba alivyokuwa anafanya upelelezi na hatimae kuhakikisha watuhumiwa wanakamatwa. Big up Jeshi la polisi kwani machalii wa AR chuga walikuwa wakorofi sana.
Ntavitafuta hivyo vitabu..Kipi kinahusiana na mauaji ya kimbari?
 
Pia mlolongo mrefu mno ,Fulani kamtuma Fulani,Fulani kamuagiza Fulani,Fulani kamuelekeza Fulani

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Hatusapoti kuuana ila nyomi la mpango lilizidi..
Watu hata alibi walikua hawana wamekurupuka tu wamenda kufanya ujinga
Ishu ka hyo laini angekua mtu na elimu kdg asingesajili kizembe hivo
 
Sinaga hofu wala mashaka juu ya maelezo yako Mkuu

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Hii case ilikamata watu wengi tu ila ambazo hawakuhusika wakaachiwa,kuna mmasai nyoka wa sharifu ndio hizo line ziliandikwa jina lake alipewa kibano mpka kuvunjwa mguu,hakua anajua chochote alivyoachiwa magereza hakuwahi kuonekana mererani karudi bush kwao tena alisilimu akiwa na sharifu.
Ila kwasasa amerudi kwenye imani yke hata mererani kapasahau
 
Very interesting but touching too....pole kwa wafiwa......hadi kufikia hatua ya kuuana daaah
 
Back
Top Bottom