solja njeree
Senior Member
- Aug 27, 2013
- 175
- 95
Duu wakituona cc waona kama tunaishi dunia nyingine
Kuna sehemu nimesema.hawa jamaa wana gazeti lao.linaitwa neema kubwa.linaandikwa kwa kiswahili.lakini ukisoma hauelewi.wanaelewana wenyewe.Mbona sikuelewi ...WAKUU WA NJIA ni akina nani?
Ila munuo.alikuwa na nguvu za ajabu sana.aliwezaje kuwamiliki watu akili zao kiasi hiki?alafu kafa ghafla tu.kiufupi jamaa alikuwa ni free Mason.Si ndio kanisa analosali pididy wa JF?
Alipokufa Munuo alileta taarifa huku kuwa Nabii wao amepaa mbinguni
ShikanenoIshia hapohapo mpumbavu ni wewe usiye heshimu imani za watu. Imani tumeletewa na watu wa mataifa, sie tulikuwa tunaabudu mizimu. Heshimu imani ya mtu, hata kama mtu anaabudu shimo la choo elewa ndiko imani yake ilikolalia we heshimu tu hutapungukiwa na kitu
Kupaa mchezo.wamezika kwake mapinga bagamoyo.Gari wao wanaita farasi, kimbembe sasa ni kwny majina ya mikoa...... yani yote imebadilishwa majina wametunga ya kwao tu, halafu hawa jamaa c ndo kiongozi wao alikufaga kwa tetenus wao wanang'ang'aina kutuaminisha eti alipaa mbinguni
Nabii wao Elia hakufa alipaa walimuona
Nasikia eti mke wa Elia anataka mali za kanisa ziwe zake kuna ka ugomvi na viongozi wa kanisa
ila nimesikia tu s
Na pia inawezekana ulisikia ukiwa kwenye njozi, wasikuulize mengi. Tumekuelewa mkuu.

Mke wangu akifiwa na baba yake mkubwa,tukaenda kuzika. Kumbe alishahamia huko kwenye hilo dhehebu kutoka lutheran. Sasa sisi tunamfahamu kama mzee Tito,kumbe kule keshapewa jina jingine la UFAHAMU. Nilichoka. Wana mambo ya ajabu sijawahi kuona. Niliapa kukitokea msiba mwingine nyumba hiyo na wanaozika ni hao siloam sikanyagi. Bora ndoa ivunjike.

Wana bifu sababu ya hela.KANISA (Mke wa marehemu Eliya kizazi cha nne) anataka kuwapanda kichwani kina MIAKA 1000(Ambaye Eliya alimkabidhi huduma).Sasa WAKUU WA NJIA hawamkubali MIAKA 1000,wameenda kumchoma kwa KANISA.KANISA amepata kiburi akazira kusali hapo makao makuu mbezi.

ha haaaa haaaKuna jamaa yangu kakimbilia huko alikuwa mlutheli,sasa ukimpigia simu ukitaja jina lake anakata simu then anakutumia sms anakwambia mimi naitwa nuru huyo unayemtaja ni mdudu gani simfahamu!