mjukuum
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 5,257
- 2,846
Hivi ile resach ya moja ya nne tulielewa vibaya ulikuwa kati ya wanne watatu sio wazima pyuuuuui akili za kusomewa biblia Mimi siweziHahaa kuna kanisa lingine nasikia ukiwa na watoto wa kuwazaa inabidi uwakane unapewa watoto wa kiroho ambao unawakuta mle kanisani hao ndio wanakuwa wa kwako unawalea unawasomesha yaani huku ndipo laana zinapoanzia ndio maana hatupati mvua