Sinagogi hili la Siloam Ministries

Sinagogi hili la Siloam Ministries

Kuuumbe,nashukuru nimejua,hao watu wamekuja kujenga kanisa lao hapa ila halina msalaba wala nn na hata jina majirani hatujui ila tunawajua kwa mavazi yao meupe,basi.na wanafijo hao na magari nahisi kila muumini ana gari
 
Dini ya leo ni biashara inayolipa sana na kila mwenye uelewa kidogo wa theolojia hutaka kuanzisha kanisa lake
Kuna baadhi licha ya pesa Kuna mambo ya siri wanafanya au wana taratibu zao zenye kuacha maswali mengi
Hivi karibuni nilikutana na mwamimi aliyekimbia kanisa la Sialom mkoani pwani akanihadithia mengi ya kushangaza
-kwao majina si kama haya yetu bali majina yao ni kama haya..Siku yake!Ahadi!Agano! Kimbilio! Jaribu nk nk
-Chakula kwao wanaita karamu
-Maji yanaitwa damu yake
-wakipigiwa simu hawataji eneo husika bali wanasema wako mlima wa moto ili adui asijue uko wapi
-Wanaamini makombo ni tiba (makombo ya Chakula wanakula makuhani wao )
-viongozi wao wanajulikana kwa jina la makuhani
-ibada zao huanza saa sita alfajiri kwa kughani maneno ya kujirudiarudia tena kwa sauti ya juu (kupayuka)
-nguo zao ni suruari fupi nyeupe na kanzu
Maisha yao kwa sehemu kubwa wanategemea malipo kwa wale wanaokuja kuponywa kanisani
Hii ni imani lakini ni vema ukaamini kitu kisicho na ukakasi...muumini huyu amefanikiwa kukimbia na sasa yuko huru
Hata huku kwetu Mwanza wapo,yaani akiamua kusema kuja,anairudia mpaka ahakikishe sauti yake inazidi jogoo wote wanaowika
 
Kuuumbe,nashukuru nimejua,hao watu wamekuja kujenga kanisa lao hapa ila halina msalaba wala nn na hata jina majirani hatujui ila tunawajua kwa mavazi yao meupe,basi.na wanafijo hao na magari nahisi kila muumini ana gari
Wana hela chafu.ni magari ya kanisa.kweli acha wafu wazikane.
 
Shika neno tenda neno mtumishi, ukiwa wa imani tofauti hata salamu hupati na wanaoana wao kwa wao, ukimtaka mtumishi lazima ukasali kanisani kwake na uvae kanzu/gauni jeupe na ushinde kanisani siku nzima

Hata huku kwetu Mwanza wapo,yaani akiamua kusema kuja,anairudia mpaka ahakikishe sauti yake inazidi jogoo wote wanaowika
Kiukweli mimi juzi nililala mahali karibu na kanisa lao kuna kipindi neno moja likitamkwa mpaka inakuwa kama teja yule wa kariakoo kariakoo kariakoo wakati huo gari ishafika magomeni
 
Wapo mbagala pia wana kelele hawa ibada inaanza saa tisa usiku mpaka saa nne
 
Na kuwatumia visivyo

Hivi mshana haya makanisa kabla ya kuanza si yanasajiliwa kisheria kwanza? Sasa hakuna hata bodi ya kuchunguza mwenendo wa waanzisha kanisa na itikadi zao kabla ya usajili?
Maana sasa huko tuendako usije kuta mtu anaibuka na kuanzisha mshana jr Jamiiforums ministries kisha unakutana na taratibu za ili uombewe lazima ule viboko hamsa wa ishirini na kutoa kipozeo cha laki kwa noti za elfumojamoja
 
Chakaza bana
 
Umesahau huwa wananawishwa miguu na kufutwa miguu wallah hizi ni nyakati za mwisho kisa cha kuambikizana mifangasi nini Tenda Neno shika Neno
hawa tenda neno shika neno wako mbezi ya kimara pia ni shida.
 
Hiyo siku nimekaa mahali napiga bia zangu wakapita wanajadiliana eti mmoja anamwambia mwenzie Jana umeme ulikatika ile anaanza kusali, babaaa.... Umeme hapo hapo ukarudi..nilichke sana
 
Hiyo siku nimekaa mahali napiga bia zangu wakapita wanajadiliana eti mmoja anamwambia mwenzie Jana umeme ulikatika ile anaanza kusali, babaaa.... Umeme hapo hapo ukarudi..nilichke sana
 
Back
Top Bottom