machinetools
Member
- Jan 15, 2017
- 47
- 84
Kuna jamaa yangu kakimbilia huko alikuwa mlutheli,sasa ukimpigia simu ukitaja jina lake anakata simu then anakutumia sms anakwambia mimi naitwa nuru huyo unayemtaja ni mdudu gani simfahamu!





Kuna jamaa yangu kakimbilia huko alikuwa mlutheli,sasa ukimpigia simu ukitaja jina lake anakata simu then anakutumia sms anakwambia mimi naitwa nuru huyo unayemtaja ni mdudu gani simfahamu!





Anakwambia ukiomba unapata hapo hapo au kesho si zaidi ya hapo...Dah, noma sana
Wanapenda sana rangi nyeupe, juzi kati kuna mmoja alistaafu ofisini sasa kwenye farewell party yake alitaka zawadi yeyote atakayopewa ni lazima iwe ya rangi nyeupe hata ye mwenyewe siku hiyo alitinga suti nyeupe na viatu vyeupeShika neno tenda neno mtumishi, ukiwa wa imani tofauti hata salamu hupati na wanaoana wao kwa wao, ukimtaka mtumishi lazima ukasali kanisani kwake na uvae kanzu/gauni jeupe na ushinde kanisani siku nzima
Ndio zao majina uliyokua nayo yanabadilishwa na ndoa pia inafutwa yaaani mambo ya ajabu ajabu kabisaKuna jamaa yangu kakimbilia huko alikuwa mlutheli,sasa ukimpigia simu ukitaja jina lake anakata simu then anakutumia sms anakwambia mimi naitwa nuru huyo unayemtaja ni mdudu gani simfahamu!
Tunakoelekea kazi kweli kweli mkuu!!!Ndio zao majina uliyokua nayo yanabadilishwa na ndoa pia inafutwa yaaani mambo ya ajabu ajabu kabisa
Kumbe wewe jirani yangu?Kuna kikanisa mtaani kwetu..kuanzia jtatu mpk jtatu kanisa liko on firee kuanzia asubuhi wanatumia vipaza sauti na spika kubwa...ukipita unakuta ni watu wawili au watatu tu..ss najiulizaga kazi ya kipaza sauti ni nini..km mko wawili si mnahubiriana na kuimba kwa sauti ya kawaida tu mnasikilizana..
Ukienda pale ukiwa uneoa hiyo ndoa ni halam kwahiyo inafutwa mnafunga nyingine
Kuna jamaa yangu kakimbilia huko alikuwa mlutheli,sasa ukimpigia simu ukitaja jina lake anakata simu then anakutumia sms anakwambia mimi naitwa nuru huyo unayemtaja ni mdudu gani simfahamu!

Ila ngozi nyeusiWanapenda sana rangi nyeupe, juzi kati kuna mmoja alistaafu ofisini sasa kwenye farewell party yake alitaka zawadi yeyote atakayopewa ni lazima iwe ya rangi nyeupe hata ye mwenyewe siku hiyo alitinga suti nyeupe na viatu vyeupe

Si unasema wanaleta kero za makelele wakati mmelalaUnaanza anzaje kwa mfano
Hahahah hao watakua wanatafuta waumini wapya mkuu mana hata mi sioni haja ya spika kama wako watatu tuKuna kikanisa mtaani kwetu..kuanzia jtatu mpk jtatu kanisa liko on firee kuanzia asubuhi wanatumia vipaza sauti na spika kubwa...ukipita unakuta ni watu wawili au watatu tu..ss najiulizaga kazi ya kipaza sauti ni nini..km mko wawili si mnahubiriana na kuimba kwa sauti ya kawaida tu mnasikilizana..
Hahahahaha daaaaKuna jamaa yangu kakimbilia huko alikuwa mlutheli,sasa ukimpigia simu ukitaja jina lake anakata simu then anakutumia sms anakwambia mimi naitwa nuru huyo unayemtaja ni mdudu gani simfahamu!
Ndio ubatizo sijui au vp!Hahahahaha daaaa
Ulijuaje mkuu? 😀😀 tena weusi ule wa giza...Siloam ilimuokoa sana maana angevaa nyeusi sijui kama angeonekana 😀😀Ila ngozi nyeusi![]()
![]()
![]()
mbuzi kaangukia kwa muuza supu....Dini ya leo ni biashara inayolipa sana na kila mwenye uelewa kidogo wa theolojia hutaka kuanzisha kanisa lake
Kuna baadhi licha ya pesa Kuna mambo ya siri wanafanya au wana taratibu zao zenye kuacha maswali mengi
Hivi karibuni nilikutana na mwamimi aliyekimbia kanisa la Sialom mkoani pwani akanihadithia mengi ya kushangaza
-kwao majina si kama haya yetu bali majina yao ni kama haya..Siku yake!Ahadi!Agano! Kimbilio! Jaribu nk nk
-Chakula kwao wanaita karamu
-Maji yanaitwa damu yake
-wakipigiwa simu hawataji eneo husika bali wanasema wako mlima wa moto ili adui asijue uko wapi
-Wanaamini makombo ni tiba (makombo ya Chakula wanakula makuhani wao )
-viongozi wao wanajulikana kwa jina la makuhani
-ibada zao huanza saa sita alfajiri kwa kughani maneno ya kujirudiarudia tena kwa sauti ya juu (kupayuka)
-nguo zao ni suruari fupi nyeupe na kanzu
Maisha yao kwa sehemu kubwa wanategemea malipo kwa wale wanaokuja kuponywa kanisani
Hii ni imani lakini ni vema ukaamini kitu kisicho na ukakasi...muumini huyu amefanikiwa kukimbia na sasa yuko huru
ahahhhhHalafu wana shuhuda za kushangaza kweli eti kuna binti alifanikiwa kupata mchumba hapo kanisani kwa kula makombo ya kuhani na mwingine aliponywa meno