Punnisher
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 1,196
- 1,413
keshaliwa....wachungaji wanawaburuza waumini...snaKifuatacho....ukiona mapembe....![]()
![]()
![]()
keshaliwa....wachungaji wanawaburuza waumini...snaKifuatacho....ukiona mapembe....![]()
![]()
![]()
Hahahahah dah, jamaa yako imani yake ni kiwango cha mbingu aiseKuna jamaa yangu kakimbilia huko alikuwa mlutheli,sasa ukimpigia simu ukitaja jina lake anakata simu then anakutumia sms anakwambia mimi naitwa nuru huyo unayemtaja ni mdudu gani simfahamu!
Hahahaha hatari hiyo mkuu lkn sio kwa mwendo huo...Hahahahah dah, jamaa yako imani yake ni kiwango cha mbingu aise
Pool of Siloam!
Pili... Kila mkoa Tanzania una jina lake, Kwa mfano Moshi panaitwa Ararati, Singida panaitwa Sayuni, Mwanza - Yericko,
Hata hapa DSM kila kitongoji kina jina lake, Mfano TABATA inaitwa, .... wanajua wenyewe
Nane: Hawatumii miezi yetu, sijui February, Janurary au March , wao miezi yao ni Zifa, n.k
Ukienda hapo utastaajabu....
Aliyeanzisha.amekufa.walimuweka ndani.wakiamini atapaa.kwenda mbinguni.akaanza kunuka.wakamzika.
HahahahahaGazeti lao.linaitwa neema kubwa.ukilisoma hauwezi kuelewa.japo wameandika kiswahili.
Shabani Robert.Kiswahili cha kirumi?