Sina ujasiri wa kuacha kazi

Sina ujasiri wa kuacha kazi

UZI UFUNGWE,UMESIRIBA NA SUMENTI YA KUJENGE MADARAJA YAKICHINA😄😄😄

Wamatumbi ifike mahali tujue kuwa sisi kwa asili sio wafanyabiashara na tuna roho za kimaskini.

Mtoa mada angekuwa ni muarabu au muhindi ningekuwa wa kwanza kumwambia aache kazi.Ila kwa simulizi yake ni mmatumbi pure😄😄😄.

Akiacha kazi, atatakiwa ajipange sana maana hata hizo biashara anazosema.Hao ndugu waliokuwa wanataka wamsend kwa watumishi wale matapeli wa dini ili akaombewe ndio haohao watakuwa wakwanza kuziua hizo biashara ili tu wamprove wrong😄😄😄.Uafrika ni LAANAAAA!!!
Mbona you are too negative
 
Majukumu yanaisha siku unavuta pumzi yako ya mwisho tu.

Lakini ukiwa hai unapumua, changamoto na Majukumu haviishi aseeh!
Lakini kusema ukweli hizi kazi hata kama tunalipwa zinatufanya tusifaidi kabisa kile tunachotafuta, unaweza kukaa mwezi mzima umenyandua mara moja Tu tena kwa mbinde, muda wote uko bize🙂🙂 sasa maana halisi ya maisha yako wapi? Kula na kulala?
 
Ni kweli.

Alichoniambia fanya maamuzi yoyote nitakusupport, ukiacha kazi sawa ukiamua kuendelea sawa.
Ongea naye tena then observe his body language.
Mara nyingi wanaume hawataki lawama hasa ktk mambo ya kipato Cha mwenza amabye anaweza kufanya kila kitu bila mume. Hivyo huwa tunawaacha wafabye maamuzi wenyewe ingawa jibu sahihi kwetu lipo.
 
Tena ana negate without facts
Ukimfatilia mleta mada ni INFLUENSA hakuna mtu hapo wa kuacha kazi.

📌Beware usiingie kichwakichwa, mwenzako yupo mawindoni!!!

Hakuna mtu anataka kuacha kazi anaanza kujishaurishauri tena taasisi kubwa unakuja JF😄😄😄.Ukiwa wa hivyo inaonekana hata kwenye hiyo taasisi uliingia bahati mbayo hudeserve kuwa hapo.

Hii ndo JF.NJOO TUBURUDISHANE KWA HEKAYA NA SOGA ZA KUVUTIA NA KUFANYIA UVUVI HARAMU🫡
 
Nimependa ujumbe wako ulivyoandika kwa upendo, asante.

Kupishana kwenye ndoa kupo kaka angu ni kawaida.

Kazi inanibana pia upande mwingine, kuna muda natakiwa nisafiri nikafuate mzigo nashindwa, kuna muda natakiwa nisafiri niende mwenyewe viwandani nashindwa.

Taasisi itaruhusu kwa mwaka usafiri hata mara tano ukakae week mbili au tatu!?? Nishadanganya kuomba ruhusa mpaka sababu zimeisha.
Kama hoja yako kuu ni biashara nankusafiri kufata mzigo. Biashara ipo DSM? Unasafiri ndani ya Tz kama ndiyo kwanini usitafute mtu mwaminifu wa kufata mzigo na kusimama biashara?
Incase huna mtu mwaminifu. Mimi ninaye tunaweza kutana. Tukaoneshana physical address za huyo mtu na Mimi ninapo ishi na nyumbani kwetu kwa wazazi then ukajiaminisha kufanya naye biashara wakati ambao unaendelea kumsoma na wewe taratibu ukifanya upembuzi wako wa kuacha kazi.
 
Kumbe tupo wengi tunao plan kuchomoka kwenye hizi Ajira..ingawa huku makazini kiuhalisia unakuta kaacha mmoja baada ya hata miaka mitano...hofu ni kubwa mnoo
Ni kawaida binadamu kuwa na hofu.

Kuna mtu mkoa fulani alifungua bar, yeye anafanya kazi mkewe anafanya kazi wanaibiiwaaaa na wafanyakazi sababu wanakuwepo tu jioni, Miaka miwili mbele mume kaacha kazi (Engineer) yuko full time kwenye biashara, mke kabaki kazini.

Bar yao inasumbua sana sa hivi mkoani hapo. Ni uthubutu tu rafiki, kuwa na establishment nzuri na kupata support nzuri ya mwenza.
 
Ongea naye tena then observe his body language.
Mara nyingi wanaume hawataki lawama hasa ktk mambo ya kipato Cha mwenza amabye anaweza kufanya kila kitu bila mume. Hivyo huwa tunawaacha wafabye maamuzi wenyewe ingawa jibu sahihi kwetu lipo.
Sawa Mkuu nitafanyia kazi.
 
Ni kawaida binadamu kuwa na hofu.

Kuna mtu mkoa fulani alifungua bar, yeye anafanya kazi mkewe anafanya kazi wanaibiiwaaaa na wafanyakazi sababu wanakuwepo tu jioni, Miaka miwili mbele mume kaacha kazi (Engineer) yuko full time kwenye biashara, mke kabaki kazini.

Bar yao inasumbua sana sa hivi mkoani hapo. Ni uthubutu tu rafiki, kuwa na establishment nzuri na kupata support nzuri ya mwenza.
Hongera kwao aisee,mkiwa wawili ni rahisi mmoja ku step down..mwingine aendelee na kibarua
 
Ukiweka 1M unapata 130,000 kwa mwaka

Mimi naona FDR uweke hela nyingi na usiwe na mipango nayo, ni pesa unayoweka kuilinda isipotee.
 
Kama hoja yako kuu ni biashara nankusafiri kufata mzigo. Biashara ipo DSM? Unasafiri ndani ya Tz kama ndiyo kwanini usitafute mtu mwaminifu wa kufata mzigo na kusimama biashara?
Incase huna mtu mwaminifu. Mimi ninaye tunaweza kutana. Tukaoneshana physical address za huyo mtu na Mimi ninapo ishi na nyumbani kwetu kwa wazazi then ukajiaminisha kufanya naye biashara wakati ambao unaendelea kumsoma na wewe taratibu ukifanya upembuzi wako wa kuacha kazi.
Biashara ipo Dom na Dar

Mzigo inategemea ila hasa hasa ni Nigeria, Dubai na South Afrika.

China kidogo.

Kumtuma mtu siwezi hata kidogo, siwezi muamini mtu yoyote zaidi ya Mume wangu.
 
Ukimfatilia mleta mada ni INFLUENSA hakuna mtu hapo wa kuacha kazi.

📌Beware usiingie kichwakichwa, mwenzako yupo mawindoni!!!

Hakuna mtu anataka kuacha kazi anaanza kujishaurishauri tena taasisi kubwa unakuja JF😄😄😄.Ukiwa wa hivyo inaonekana hata kwenye hiyo taasisi uliingia bahati mbayo hudeserve kuwa hapo.

Hii ndo JF.NJOO TUBURUDISHANE KWA HEKAYA NA SOGA ZA KUVUTIA NA KUFANYIA UVUVI HARAMU🫡
Yaani niwinde nini humu JF? Kuna kipi cha kuwinda kwa mfano?

Hivi unachukuliaje watu?

So kama niliingia kwa bahati mbaya? Ndiyo nipo upende usipende!!!

Toka umeanza kucomment ni comment za Chuki na Negativity, pambana na umaskini wako maana ndiyo unakufanya uwe na roho mbaya hata usifurahie mafanikio ya mtu.

Stupid!!!!
 
Back
Top Bottom