Zero Star
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 4,154
- 8,359
Hilo ndo tatizo apo kwenye kukubebwa na hyo status.......ni sawa na wale ndugu zetu wa kwenye system ata awe na mapesa gani bado wanawaza uchaguzi ujao.Public
Hiki pia kinachangia, nilijaribu kumshirikisha mzazi wangu mmoja naacha kazi alifunga kuniombea sababu Taasisi ninayofanyia ni moja ya Taasisi ambayo inanibeba sn na inafanya mtu akijua upo sehemu hiyo unapata msaada kwa haraka, so kwetu wanaona kama nimechanganyikiwa.
Kwasababu wanaamini wakiwa uko ni mwendo wa mbeleko tu na status kuwa mimi mtu mzito.....
Ushauri, kaa na mumeo chini muongee vzuri, mmeo ndo anamaamuzi ya mwisho,
Najua unaogopa ukiacha kazi afu biashara nayo ikaja kuyumba jamii itakuonaje.....!! Ila mmeo ndo final say