Sina ujasiri wa kuacha kazi

Sina ujasiri wa kuacha kazi

Kwa ulipofikia na kwa kuwa Mume wako pia anafanya kazi, unaweza kuacha na pengine kusimamia vizuri zaidi hizo biashara zako. Naomba pia kirefu cha FDR (sisi watu wa zamani kidogo tunapitwa na baadhi ya codes)

Kama ni shirika Binafsi; Andika tu barua ukiwapa pengine miezi tatu (Kulingana na nafasi yako) kuwa unaomba kuacha kazi. Ni vizuri kuacha kazi vizuri na usiondoke kibabe, kwani kuna kesho.....
Sababu; Mume wako yupo mbali kikazi hivyo unatamani kuungana naye ili mshirikiane kwenye malezi ya watoto.

They way you handle responsibilities is truly impressive; You are thoughtful, reliable, and clearly grounded in your values. Hongera sana!!!
FDR ni Fixed Deposit huko Bank

Ambapo unaweka hela then wanakupa riba mfano unaweza pewa asilimia 13-14 ya pesa zako kwa mwaka na hela yako inabaki pale pale.
 
Biashara yako wateja hawaji kwa sababu ya cheo chako ofisini au ofisi yako?

We inaonekana siyo shap kwenye mambo yako.Maana ukiwa shap unapata muda wa kukaa na watoto maana ila ukiwa slow unachelewa kufika home.

Ofis yenu ipo mkoani km unaweza uhamie huko ili uondokane na heka heka za usafiri uwahi kufika na kurudi

Miye nikisema naacha kazi Mama yangu tunampoteza.
Huyo Mzazi wangu ni Mjomba angu alienilea, nilivyomuambia alifunga kimaombi😂😂 akaniita niende nyumbani.

Wazazi wetu wanapenda ile ‘ongea na mwanangu huyu yupo sehemu flan anafanya kazi😂😂😂
 
Wewe uliazimia kuacha by 40, mimi ningekushauri uende hadi 50. Utapata mda wa kuunganisha maisha ya ajira na biashara 50-65 hapo.

Swala hapo ni malezi ya watoto ambao naamini unawalea remotely, kama wanalelewa vizuri sioni haja ya kuacha kazi mapema hivi. Mume utamlea tu hata kama unafanya kazi, kwani haridhiki na muda unaompa.
Anaridhika ingawa kuna muda ananihitaji nashindwa sababu ya mazingira ya kazi. Utakuta anasafiri mwezi mzima Nje ya Nchi ila nashindwa mfuata. Mimi pia nimechoka kukaa mbali nae.
 
jF itakuchanganya zaidi. Piga hesabu zako vizuri maamuzi unayo mwenyewe maana situation unaijua vema kuliko sisi.

Ila tu kwenye kustaafu au kuacha kazi nina imani na fixed assets kuliko liquid kama hizo FDR. Ungechukua hiyo hela ukajenga let's say lodge maana running cost yake sio kubwa na haina usumbufu basi unakuwa na uhakika angalau wa kupata sehemu ya huo mshahara kwa mwezi. Kuliko deposit inayokulipa 2 coupons per annum. Hii ilikufaa ukiwa busy ila ukiwa free itakuwa inakuuma unaona hela imelala tu.
 
Hakuna siku pesa iliwahi kutosha. Hata useme unafanya kazi mpaka ufike miaka 90, bado utaona pesa haitoshi na utaogopa kuacha kazi.

The money we work for is never enough and it will never be enough.

Hukuja hapa duniani kufanya kazi tu maisha yako yote.

Kwani maisha ni kufanya kazi tu?

Mbona ukifika miaka 65 mpaka 70 unaacha kazi na kustaafu?

Na maisha yanaenda tu. Na wala huwazi na kuhofia kustaafu.

Kama watu wakifika miaka 60 wanaacha kazi na kustaafu na maisha yanaenda tu, Wewe una ogopa nini kuacha kazi sasa hivi ukiwa bado na nguvu za kufanya miradi na biashara zako?

Acha kazi sasa, jikite kwenye biashara zako na miradi yako. MAANA hata kama ukiogopa kuacha kazi sasa, ukifika miaka 60+ utaacha tu, na maisha lazima yaende.

Maisha sio kufanya kazi tu.
 
Binafsi nadhani kuacha au kuendelea na kazi ni mashauriani kati yako na mwenza wako, nyie ndio mnaziona faida na hasara za wewe kuwa kazini na kuacha ajira rasmi.

Kama umejipanga na ukwasi wa familia unatosha mbona ni sawa tu, utakachopoteza ni STATUS.

Hongera kwa kujiweka vizuri kiuchumi kabla hujafika 40, wengi wetu 40 bado sana...
 
Anaridhika ingawa kuna muda ananihitaji nashindwa sababu ya mazingira ya kazi. Utakuta anasafiri mwezi mzima Nje ya Nchi ila nashindwa mfuata. Mimi pia nimechoka kukaa mbali.
Maisha sio kufanya kazi tu.

Hiyo kazi unayohofia kuacha sasa hivi, ukifika miaka 60 lazima utaacha tu na utastaafu.

Na utaishi tu, baada ya kuacha kazi na kustaafu.

Sasa kwa nini usubiri mpaka umri huo wa uzeeni ndio uache kazi huku ukipoteza experiences nyingine za maisha za ujanani kwa kuhofia kazi.

Kwani kazi ndio oxygen ya maisha?

Wewe tayari una miradi na biashara ya kukulisha. Kazi ya nini?

Hela haijawahi kutosha, Hata useme unafanya kazi mpaka miaka 100, Bado utaona pesa haitoshi na unahitaji kazi.

Maisha si kufanya kazi tu. Kuna muda wa ku enjoy na familia.

Hiyo kazi unayohofia kuacha, umri ukienda utaiacha tu na kustaafu.

Sasa kwa nini usubiri mpaka uzee, huku una miss ku enjoy na familia yako?

Enjoy now, Acha kazi, endeleza miradi.

Kazi zipogo tu.

Ila maisha hayarudigi nyuma.

Acha kazi, endeleza miradi.

Live and enjoy your life to the fullest.

Hukuja hapa duniani kufanya kazi miaka yako yote.
 
Binafsi nadhani kuacha au kuendelea na kazi ni mashauriani kati yako na mwenza wako, nyie ndio mnaziona faida na hasara za wewe kuwa kazini na kuacha ajira rasmi.

Kama umejipanga na ukwasi wa familia unatosha mbona ni sawa tu, utakachopoteza ni STATUS.

Hongera kwa kujiweka vizuri kiuchumi kabla hujafika 40, wengi wetu 40 bado sana...
Kibongo bongo 40 bado Sana yaani saana
 
Maisha sio kufanya kazi tu.

Hiyo kazi unayohofia kuacha sasa hivi, ukifika miaka 60 lazima utaacha tu na utastaafu.

Na utaishi tu, baada ya kuacha kazi na kustaafu.

Sasa kwa nini usubiri mpaka umri huo wa uzeeni ndio uache kazi huku ukipoteza experiences nyingine za maisha za ujanani kwa kuhofia kazi.

Kwani kazi ndio oxygen ya maisha?

Wewe tayari una miradi na biashara ya kukulisha. Kazi ya nini?

Hela haijawahi kutosha, Hata useme unafanya kazi mpaka miaka 100, Bado utaona pesa haitoshi na unahitaji kazi.

Maisha si kufanya kazi tu. Kuna muda wa ku enjoy na familia.

Hiyo kazi unayohofia kuacha, umri ukienda utaiacha tu na kustaafu.

Sasa kwa nini usubiri mpaka uzee, huku una miss ku enjoy na familia yako?

Enjoy now, Acha kazi, endeleza miradi.

Kazi zipogo tu.

Ila maisha hayarudigi nyuma.

Acha kazi, endeleza miradi.

Live and enjoy your life to the fullest.

Hukuja hapa duniani kufanya kazi miaka yako yote.
Kwa ufupi ni kwamba, ukisubiri ujipange ndio uache kazi au ukisubiri ujipate pate uanze mtaji ndio ujiajiri 99% Sure that you will never get self employed or leave your Job.

Kuacha kazi ni maamuzi magumu na always hufatia kipindi cha msoto mkali ila baada ya hapo like 1 to 2yrs ndio utaanza kuielewa na Watu wataanza kukuelewa
 
Sasa kwa nini usubiri mpaka umri huo wa uzeeni ndio uache kazi huku ukipoteza experiences nyingine za maisha za ujanani kwa kuhofia kazi
Hi kitu hata Mimi inanitesa Sana, nalipwa vizuri Lakini kazi nimechoka sana, Sina Interest kabisa na kazi, na sio kwamba Nina biashara nyingine, so I am going to quit soon. My psychology and comfortability is much more important too, by the way kama ulivyosema soon or later tuta retire tena at the time ambapo na nguvu hatuna, and we shall accept whether we like or not
 
How prepared are you after quitting your job? It's very interesting kusoma stories za namna hii, hasa kwa mtu kama wewe unayesema huna side hustle yoyote na unataka kuacha kazi.
 
Back
Top Bottom