Sina ujasiri wa kuacha kazi

Sina ujasiri wa kuacha kazi

Habari wana JF.

Mtanisamehe kama nitaandika bila mpangilio, wengine hatuna utaalamu sana wa Lugha.

Wale watu wa dhihaka na kuona mtu akileta mada humu mnaona anajisifia plz, naomba mkae pembeni.

Nilijiekea dhamira na malengo nikifikisha 40 yrs nitaacha kazi sababu malengo yangu yatakua yametimia, ila Mungu ni Mkuu nimetimiza malengo yangu mwaka jana December nikiwa na 38 yrs.

Ila naogopa sana kuacha kazi, nimejikuta sina ujasiri kabisa.

Kwanini naacha kazi??
1. Sina passion na kazi hata kidogo, sipendi kuajiriwa.

2. Mshahara ninaopata kazini, naupata kwenye biashara tena zaidi pia niliweka FDR ambako nako kunanipa hela nzuri tu kila baada ya miezi 3. Hivyo, hata nikiyumba kibiashara nina uhakika wa kupata hela nzuri tu. Pia nina vitega uchumi vingine nisingependa kuviweka wazi ila vipo vinajiendesha vyenyewe mimi ni kupita tu kuangalia mara chache.

3. Kulea watoto wangu kwa ukaribu zaidi roho inaniuma kwa week napata siku mbili za kukaa full na watoto wangu.

4. Mume wangu anasafiri sana, hivyo nakosa muda wa kukaa nae pia anakua ananihitaji nimsindikize kwenye safari zake nashindwa. Natamani nipate muda zaidi nimlee pia Mume wangu

pamoja na yote hayo najikuta nakosa ujasiri kabisa, mlioacha kazi mliwezaje? Mlipata changamoto gani? Mlijutia? naomba ushauri.

Nimeona heri niombe ushauri huku sehemu ambayo sifahamiki.
Usichezee shillingi chooni mjukuu wangu. Kesho ni tofauti na leo.
Hebu fikiria jinsi biashara zilivyoanguka baada ya magu kuingia madarakani
 
Biashara ipo Dom na Dar

Mzigo inategemea ila hasa hasa ni Nigeria, Dubai na South Afrika.

China kidogo.

Kumtuma mtu siwezi hata kidogo, siwezi muamini mtu yoyote zaidi ya Mume wangu.
Kama ni huko it's better ufanye wewe mwenyewe ktk kusafiri nilidhani ni hapa hapa Tz.
 
Yaani kumbe siku hizi Mkuu inatumiwa na wanaume??😂😂😂😂
Hamna ni jinsi tu anachanganya mambo. Neno mkuu ni common kwa kila mtu humu.
Ukiweka 1M unapata 130,000 kwa mwaka

Mimi naona FDR uweke hela nyingi na usiwe na mipango nayo, ni pesa unayoweka kuilinda isipotee.
Aisee hii inawafaa wenye milion nyingi ambazo kama anazitunza tu. Vinginevyo bora iingie ktk mzunguko
 
Instinct, Instinct, Instinct.
Instinct over intellectual, kama moyo wako unasita mkuu usiache kazi.

Inner voice lead the safe way.
 
Yaani niwinde nini humu JF? Kuna kipi cha kuwinda kwa mfano?

Hivi unachukuliaje watu?

So kama niliingia kwa bahati mbaya? Ndiyo nipo upende usipende!!!

Toka umeanza kucomment ni comment za Chuki na Negativity, pambana na umaskini wako maana ndiyo unakufanya uwe na roho mbaya hata usifurahie mafanikio ya mtu.

Stupid!!!!
Sawa tajiri wa mchongo😄😄😄
 
KUacha kazi ni maamuzi mazuri kama wewe ni mpambanaji maana yake hata kazi unayoifanya leo ni juhudi zako kwa hiyo kama stat up capital ipo piga chini usonge mbele , katika maisha haya unaitaji kufanya maamuzi magumu ili utimize malengo .mfano, ukiwa private sector mkataba ukafika mwisho utafanya nn , au kama watu wa USAID walivyositishiwa mikataba ndani ya miezi mitatu si wanaendelea na life.

Kwa ,sasa kama unaogopa omba likizo bila malipo go out there see the and face life without paycheck , if you can handle that is nice. Here we just with you good luck .
Lastly a bird who never leave a nest never learn how to fly.
 
Tusemu mshahara kwa mwez ni 5milioni kwa jinsi ulivosema unafanya kaz taasisi kubwa ya serikali

Haya hiyo biashara unayofanya inakuingizia mara 2 ya mshahara kwa mujibu wako

Kuna mleta mada kasema uwe na hisa 200m na utt 80m ili upate 22,000 faida per day, ukasema hii hela ni ndogo

Nikipiga mahesabu ya haraka haraka wewe utakua na utajir wa 500milion

Kwakawaida hizo ni pesa za watu wenye vitengo vizito uko serikalini

Mwisho nakupa hongera na kukupa cheo cha tajir la Jamii forum
Huyu ni miongoni mwa wanufaika wa keki ya Taifa, kuna umuhimu wa yeye kurudisha fadhira kwa kutugawia vipande vyetu
 
Jobless kitengo cha mapokezi hapa nakushauri mkuu usiache kazi, ifanye kama side hustle tu ya kukupotezea muda, yaani kwasasa zidisha utoro kazini maana huna cha kupoteza, na huo muda uliokuwa ukiutumia kazini utumie ktk kazi za ndoto zako unazoona zina impact ktk maisha yako.

La mwisho maisha yenyewe mafupi haya usisahau kula bata, kula bata haswa maana hujui ni lini utaondoka hapa dunian, hakuna sifa wala tuzo ya kuteseka duniani, bali wafurahiao raha/mema ya nchi hulipwa kwa ujira ambao wafu/wapenda shida hawawezi kupata kamwe (jokes but real).

Huu ndio muda wako wa kufurahia matunda uliyohangaikia miaka yote hiyo.
Ushauri wa bure huu kwako, wenzio wanalipia kuupata ooh
 
Kazi ya kufanya siku 360 na kulipwa siku 12 tu , kuziacha wala usione aibu , kama una namna nyingine ya kufanikisha mipango yako piga chini tu bila kuwaza mara mbili.
Mwanzoni nilikuwa sijaelewa hii kauli baadae nikatuliza akili nikaelewa nikacheka sana
 
Biashara zako haziyumbi sabbu unalo pato la uhakika kila baada ya siku 30 ofisini .ukishategemea biashara pekee kama kila kitu chako ikiyumba kidgo huwezi kuiokoa , ofisn ukiwepo katika nyakati hizo waweze chukua mkopo wa sacoss ama salary loan.

Otherwise labda useme tu wewe ni maisha bora kitambo na vyote unavofanya si lazima uvifanye sababu maisha yako yataenda tu. / set new higher goals tumia hio taaluma hapo ofsn usiendee kuiweka nyumbani
No kwa kifupi tu inabidi awe na emergency backups itapotokea biashara imeyumba ila sio lazima iwe kazi.
 
Habari wana JF.

Mtanisamehe kama nitaandika bila mpangilio, wengine hatuna utaalamu sana wa Lugha.

Wale watu wa dhihaka na kuona mtu akileta mada humu mnaona anajisifia plz, naomba mkae pembeni.

Nilijiekea dhamira na malengo nikifikisha 40 yrs nitaacha kazi sababu malengo yangu yatakua yametimia, ila Mungu ni Mkuu nimetimiza malengo yangu mwaka jana December nikiwa na 38 yrs.

Ila naogopa sana kuacha kazi, nimejikuta sina ujasiri kabisa.

Kwanini naacha kazi??
1. Sina passion na kazi hata kidogo, sipendi kuajiriwa.

2. Mshahara ninaopata kazini, naupata kwenye biashara tena zaidi pia niliweka FDR ambako nako kunanipa hela nzuri tu kila baada ya miezi 3. Hivyo, hata nikiyumba kibiashara nina uhakika wa kupata hela nzuri tu. Pia nina vitega uchumi vingine nisingependa kuviweka wazi ila vipo vinajiendesha vyenyewe mimi ni kupita tu kuangalia mara chache.

3. Kulea watoto wangu kwa ukaribu zaidi roho inaniuma kwa week napata siku mbili za kukaa full na watoto wangu.

4. Mume wangu anasafiri sana, hivyo nakosa muda wa kukaa nae pia anakua ananihitaji nimsindikize kwenye safari zake nashindwa. Natamani nipate muda zaidi nimlee pia Mume wangu

pamoja na yote hayo najikuta nakosa ujasiri kabisa, mlioacha kazi mliwezaje? Mlipata changamoto gani? Mlijutia? naomba ushauri.

Nimeona heri niombe ushauri huku sehemu ambayo sifahamiki.
Hivi FDR na UTT Wapi inalipa zaidi?
Sio lazima uwe kwenye ajira rasmi, japo ukifikisha umri wa kustaafu sio vibaya utapata pia mafao, lakini usisahahu kuna promotion na hata pia chance zaidi.
 
Simara kama unaifahamu Joy Es Slava pale Goba/Madale, Shirima alikuwa TRA na akaacha ili kusimamia bar yake. Sasa hivi anaendesha bar yake na kajenga Lodge ya kisasa sana.

Wakati ukifika wala hutajishauri, utaacha mara moja.
 
Habari wana JF.

Mtanisamehe kama nitaandika bila mpangilio, wengine hatuna utaalamu sana wa Lugha.

Wale watu wa dhihaka na kuona mtu akileta mada humu mnaona anajisifia plz, naomba mkae pembeni.

Nilijiekea dhamira na malengo nikifikisha 40 yrs nitaacha kazi sababu malengo yangu yatakua yametimia, ila Mungu ni Mkuu nimetimiza malengo yangu mwaka jana December nikiwa na 38 yrs.

Ila naogopa sana kuacha kazi, nimejikuta sina ujasiri kabisa.

Kwanini naacha kazi??
1. Sina passion na kazi hata kidogo, sipendi kuajiriwa.

2. Mshahara ninaopata kazini, naupata kwenye biashara tena zaidi pia niliweka FDR ambako nako kunanipa hela nzuri tu kila baada ya miezi 3. Hivyo, hata nikiyumba kibiashara nina uhakika wa kupata hela nzuri tu. Pia nina vitega uchumi vingine nisingependa kuviweka wazi ila vipo vinajiendesha vyenyewe mimi ni kupita tu kuangalia mara chache.

3. Kulea watoto wangu kwa ukaribu zaidi roho inaniuma kwa week napata siku mbili za kukaa full na watoto wangu.

4. Mume wangu anasafiri sana, hivyo nakosa muda wa kukaa nae pia anakua ananihitaji nimsindikize kwenye safari zake nashindwa. Natamani nipate muda zaidi nimlee pia Mume wangu

pamoja na yote hayo najikuta nakosa ujasiri kabisa, mlioacha kazi mliwezaje? Mlipata changamoto gani? Mlijutia? naomba ushauri.

Nimeona heri niombe ushauri huku sehemu ambayo sifahamiki.
Nakushauri acha kazi Kuna faida lukuki za kuacha kazi kwanza unapata muda wa kujitambua kuwa ww ni nani na unapaswa kuwa wapi 2. Unapata muda wa kufanya mambo makubwa 3. Unajiweka karibu ww na Muumba wako 4. Unatengeneza uhusiano nzuri na familia yako
 
Ukimfatilia mleta mada ni INFLUENSA hakuna mtu hapo wa kuacha kazi.

📌Beware usiingie kichwakichwa, mwenzako yupo mawindoni!!!

Hakuna mtu anataka kuacha kazi anaanza kujishaurishauri tena taasisi kubwa unakuja JF😄😄😄.Ukiwa wa hivyo inaonekana hata kwenye hiyo taasisi uliingia bahati mbayo hudeserve kuwa hapo.

Hii ndo JF.NJOO TUBURUDISHANE KWA HEKAYA NA SOGA ZA KUVUTIA NA KUFANYIA UVUVI HARAMU🫡
Japo simfahamu mtoa mada nje ya hapa Jf, ni member wa siku nyingi namfahamu kupitia michango yake hapa jukwaani. Niseme tu kwamba kwa hizi tuhuma zako ambazo hazina msingi wowote unamkosea sana huyu mtoa mada. Attention haitafutwi hivi kijana
 
Back
Top Bottom