Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,495
- 4,604
Hakuna wa kuacha kazi mkuu,kwa jinsi maisha yalivyo kwa sasa😄😄😄.Pesa haina thamani ila ukiangalia maisha kwa ground yalivyo alafu mtu anataka kuacha kazi bila kuwa na plan B,C,D.Unapata picha kuwa huu ni utani wa kufurahisha GENGE LA JF.How prepared are you after quitting your job? It's very interesting kusoma stories za namna hii, hasa kwa mtu kama wewe unayesema huna side hustle yoyote na unataka kuacha kazi.