Sina neno, jioneeni wenyewe

Sina neno, jioneeni wenyewe

Haya mambo yapo toka zamani, isipokuwa sasa teknolojia inayakuza na kusababisha uharibifu
 
"Everyone has a plan until they get punched in the mouth" is a famous quote by boxer Mike Tyson, highlighting that strategies often fall apart upon encountering unexpected adversity or "reality". It emphasizes that theoretical planning is useless without the adaptability to handle chaos, pain, or direct, unforeseen conflict.
Subiri ufumaniwe na mke wa mtu.
Jamaa kaupaka mkongo kabisa huku kashika chuma ya moto au panga.
Utajua mbinu zako Zina mwisho wake nao no kupakwa wese.
Sahau maana siwazi negative kama wee
 
Suluhisho kuoa bikra.
Bikira wangapi tunawamega huku mtaani? Majuzi nimekutana na mama mmoja aliolewa na mume wake akiwa bikira sasa anashangaa kwamba tangu ameolewa hajawahi kufika kibo, juzi ndiyo amefika! Eti na wewe ndiyo unajipa matumaini eti dawa ni bikira! Mwanamke mwenye hulka ya umalaya ni malaya tu!
 
Kuna haja ya kuanzishwa sheria kwa kila mtoto atakaye zaliwa ndani ya ndoa,
Basi iwe ni lazima kupimwa DNA tests ili kujua biological relationship kati ya mtoto na Baba wa mtoto,

Hii ndio solution pekee iliyo baki na ndio itakayo komesha kwa wanaume kubambikiwa watoto ambao sio wao.
Sio ndani ya ndoa tu. Mtoto akizaliwa tu kupima DNA iwe mandatory. Hata hivyo hilo wazo nina uhakika wanawake watalipinga kwa nguvu kubwa sana
 
Jambo zuri lakini wakati ikisubiri hili liwe sheria
Mtu kama una uwezo unaweza kufanya kimya kimya na ukajua which is which
Tanzania mchakato wa kupima DNA ni mrefu na kuna tetesi kwamba vipimo vinachakachuliwa kulinda masilahi ya mtoto. Mwanaume anaetaka kupata uhakika suluhisho ni kwenda kupima DNA nje ya nchi
 
Tanzania mchakato wa kupima DNA ni mrefu na kuna tetesi kwamba vipimo vinachakachuliwa kulinda masilahi ya mtoto. Mwanaume anaetaka kupata uhakika suluhisho ni kwenda kupima DNA nje ya nchi
Hata mimi nilisikia hua wana balance mambo sijui wanatumia kigezo kumbebesha mtu mzigo usio muhusu
Nasikia Kenya wapo vizuri na nijirani na hapa cost zitapungua kuliko ukienda mf: south africa
 
Kuna ushahidi wa % nyingi, shetani ni mwanamke. No matter what, ni mama zetu, wake zetu na mabinti zetu. Ila ushetani upo ndani yao.
 
Ex ndo anafanya vitu ambavyo mdada alieolewa anapenda Mwamba 777
Duuuh huyo itakuwa ananyonywa kinyeo na ex, afu mume hayo mambo hayajui

Pengine ex huwa anamfokonyoa tope kisamvu mume kakaa kishamba

Dawa ya Hawa viumbe ni kuwafokonyoa Kila tobo mpaka watosheke, ukiwaonea haya wenzako wanakusaidia kufokonyoa
 
Kuna haja ya kuanzishwa sheria kwa kila mtoto atakaye zaliwa ndani ya ndoa,
Basi iwe ni lazima kupimwa DNA tests ili kujua biological relationship kati ya mtoto na Baba wa mtoto,

Hii ndio solution pekee iliyo baki na ndio itakayo komesha kwa wanaume kubambikiwa watoto ambao sio wao.
Acheni kuzua taharuki. Kitanda hakizai haramu.
 
😂😂🤓

Hapo ndipo Watibeli tunapowaacha kwa mbali Sana watu wa kawaida.
Kwa sababu Sisi hatudili na matokoe, tunadili na vyanzo
 
1. Oa Bikira

Kama utakuwa mzembe na mzito Sana

2. Oa binti Mdogo asizidi miaka 22
Au wekeni mahusiano ukimkuza.

3. Ajue tangu mwanzo usaliti haunaga kikao atafukuzwa.

4. Watoto wote lazima ufanane nao. Kuna mambo yapo kwenye ukoo wenu uyaone kwa mwanao. Iwe ni macho, masikio, mdomo, au sura yote au pua.

Usikubali kuitwa mstaarabu, huna shida, unampenda sijui Mungu. Nope!

Dunia inahitaji uwe beast kuliko mtupoa
 
Acheni kuzua taharuki. Kitanda hakizai haramu.
Muolewe na mnao taka kuzaa nao,sio unaolewa halafu unagongwa hovyo huko nje kama Paka,

Ni bora ukasimame huko barabarani ili uwe unagongwa na kila mtu kwa kulipia kuliko kuingia kwenye ndoa halafu unapigwa mimba na mwingine.
 
Wanajua wanaume ni malofa.

Kuna wanawake wananipigiaga simu wananifurahishaga Sana.

Wananiambia mimi hata niandikeje sitabadilisha chochote kwani wao wanajua wanaume wengi uwezo wa kufikiri ni Mdogo hivyo.
Kuna wakati nakubaliana na ule utafiti kuwa wanawake wanawazidi wanaume akili.

Yaani wanaume wenye akili kuwazidi wanawake ni wachache Sana
 
Back
Top Bottom