Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,171
- 138,425
Kazi ipo
Hapa Bongo si kila ikipimwa wanasema ni mtoto wa baba husika wa wakati huo, kuepusha watoto wa mtaani.Kuna haja ya kuanzishwa sheria kwa kila mtoto atakaye zaliwa ndani ya ndoa,
Basi iwe ni lazima kupimwa DNA tests ili kujua biological relationship kati ya mtoto na Baba wa mtoto,
Hii ndio solution pekee iliyo baki na ndio itakayo komesha kwa wanaume kubambikiwa watoto ambao sio wao.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe unapiga ile kitu kwa heshima anakutana na wahuni wanatwanga kinu kama wanapiga mwizi. Haya ndio matokeo yake
WAtu tuna mbinu nduguHuogopi kupakatwa mkuu😁😁😁
Em weka kwa faida ya membersWAtu tuna mbinu ndugu
Hahahaaa!Em weka kwa faida ya members
Ww jiongeze tu maana naijua iyo ni trapEm weka kwa faida ya members
Trap yanini mkuu nahuku tunataka mbinu nasisiWw jiongeze tu maana naijua iyo ni trap
Ha ha haa 🤣🤣🤣Ndio
Mi binadamu mwenye jinsia ya kike
Mi mzima kabisa.
Karibu pm iko wazi,,, ukija na hoja utajibiwa ukija kwa karaha utakula za uso.
Sahihi.Mtwara,Lindi na almost kusini nzima.....mtoto ni wa ujombani!
Nini hiki umeongea?Nini cha kuona hapo? Una haraka ya kuleta umbea. Subiri siku waje na stori ya mwanamke aliyeolewa na bikra yake na bado akasaliti mume wake
Exactly!Ila wanawake 🙌
Kuna namna walitakiwa wawe zoo tuwe tunawaangalia kama Maliasili
Jamani hii ni comedy msiumize sana kichwa kuifikiria!
Akisi uhalisiaJamani hii ni comedy msiumize sana kichwa kuifikiria!
Yes. Inaakisi uhalisia lakini hiyo simu sio ya kweli. Ni maigizo tu!Akisi uhalisia
"Everyone has a plan until they get punched in the mouth" is a famous quote by boxer Mike Tyson, highlighting that strategies often fall apart upon encountering unexpected adversity or "reality". It emphasizes that theoretical planning is useless without the adaptability to handle chaos, pain, or direct, unforeseen conflict.WAtu tuna mbinu ndugu
Hahaaa