Sina neno, jioneeni wenyewe

Sina neno, jioneeni wenyewe

Muolewe na mnao taka kuzaa nao,sio unaolewa halafu unagongwa hovyo huko nje kama Paka,

Ni bora ukasimame huko barabarani ili uwe unagongwa na kila mtu kwa kulipia kuliko kuingia kwenye ndoa halafu unapigwa mimba na mwingine.
🤣🤣🤣 tulieni, hata haihitaji hasira.
 
Madhara ya kuokota jitu limedhurura kama Bobby kwenye maghetto ya wahuni.

Linakuja kuegesha kimkakati.
 
Cha ajabu nini hapo wajameni, watu wanang'aka utadhani ni kitu ambacho hawajawahi kusikia
 
1. Oa Bikira

Kama utakuwa mzembe na mzito Sana

2. Oa binti Mdogo asizidi miaka 22
Au wekeni mahusiano ukimkuza.

3. Ajue tangu mwanzo usaliti haunaga kikao atafukuzwa.

4. Watoto wote lazima ufanane nao. Kuna mambo yapo kwenye ukoo wenu uyaone kwa mwanao. Iwe ni macho, masikio, mdomo, au sura yote au pua.

Usikubali kuitwa mstaarabu, huna shida, unampenda sijui Mungu. Nope!

Dunia inahitaji uwe beast kuliko mtupoa
Kwa hiyo Mtibeli hutaki kumpenda Mungu?
 
Back
Top Bottom