moseskwaslema
Member
- May 3, 2012
- 92
- 13
kwani jamani kuna m2 analazimishwa kuamini chama fulani? kuamini chama chochote ni m2 mwenyewe,kama huna imani na chadema kaunde chama chako then have faith with it usituzingue.
Nakubaliana nawewe kwamba madaktari ni watanzania lakini tatizo la watanzania hawa wapo tayari kuona watanzania wenzao wakipoteza uhai kwa ajili ya maslai yao
WEWE NAHISI UNA LAANA ULOIPATA KWA ALIYE KULAWITI UKIWA MDOGO,
UNAUHAKIKA KAMA CHADEMA WANAUNGA MKONO MGOMO WA MADr?
NDUGU NAKUSHAURI CHANGAMKA UKACHUKE IYO RUZUKU KWA NEPI, AH SORRY NAPE NA HAO MAFISADI UKOJOE UKALALE, HATUDANGANYIKI KWA LOLOTE,
TUNAWAELEWA VIZURI CHADEMA, WAO NI WAPIGANIA HAKI ZETU POPOTE NA MDA WOWOTE, NA BADO MPAKA KIELEWEKE.
PEOPLEEEEEEEEES POWERRRRRRRRRRRR!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Naona wazi sasa sinema la siasa la siasa linavyovutia watu na kuacha watu na matumaini na shida zisizotatulika.
CHADEMA WANASHINDWA KUPIGANIA MAMBO MUHIMU SASA KAMA bei duni za Pamba, na minofu ya samaki Mgomo wa madaktari, Mgogoro wa walimu na selikali au Uporwaji wa madini wanatuletea tena move ya maigizo ya dr Slaa, Myika na Lema eti wanataka kuuawa!!
Lengo la muvu hii watu waache kujadili mambo nyeti wajadili utumbo huo. Mi sasa sioni harakati za chadema bali siasa uchwala. Sioni umoja tena wa chadema bungeni.
Wanasiasa Mnakera, mnakera kweli. Wawaache wanaharakati wadili na Mnyika kwa lipi.
Washabiki wa vyama fumbua macho Chadema washakula chunguza uone.
Siamini kwenye miujiza au habari za kuhusu freemason na mikanda yao ya habari za "microchip".
Ila chadema inavyoenda nahisi sasa Mbowe kawekewa Microchip na sasa anaendeshwa na mtambo uliopo ikulu. Hakuna kitu sasa. Wakulima jipiganieni. Wavuvi jipiganieni, walimu jipiganiene. CHADEMA HAKUNA UMOJA TENA WANAONGEA WANAPATA POSHO wanarara.
siasa siasa siasa zinakera. A
Chadema wananchi wanaitaji kujua mtawafanyia nini sio siasa zenu za matukio.
Hili swala la mgogoro wa madaktari kiongozi kuna mambo ya kusikitisha sana. Kuna mapungufu makubwa sana kwenye uongozi wetu na nadhani sababu kubwa ni kuendelea kufanya mambo kwa 'mazoea'. Miaka kama miwili nyuma nilishinda muhimbili, ukweli mortuary kulikuwa busy! Na nilijaribu kumuuliza dokta mmoja kuna namna madaktari wakakaa na kuangalia kwanini vifo ni vingi? jibu lilikuwa -vingi vinaepukika.
Sijui mawasiliano kati ya watawala na madakatri yalikuwaje huko nyuma lakini kwa mtazamo wangu kuna kasoro mahali, tena kasoro kubwa. Na matokeo yake madaktari wamejikuta wanafanya kazi ya kuwa 'eye witness' wa wagonjwa wanaopoteza maisha kwa mambo yanayoupukika. Lakini hebu tujuilize, hivi kweli taifa tumeshindwa kutatua huu mgogoro? Na inapotokea serikali inakuwa na mgogoro na watumishi wake nini njia bora ya kupata muafaka? Kama ipo kwanini hatujaitumia?
Chadema wananchi wanaitaji kujua mtawafanyia nini sio siasa zenu za matukio.
Bahada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 Chadema kilijijenga sana kujijenga huko kulitokana na kukubalika na watanzia wengi kama mkombozi wao kutoka kwenye ukandamizwaji wa ccm. Nasema ivi kutokana matokeo uchaguzi mkuu wa mwaka 2010,kwani kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 chadema walipata idadi kubwa ya kula za urahisi na idadi kubwa ya bunge. Napia kwenye chaguzi ndogo za ubunge zilizofuatia bado watanzania walikuwa upande wao. Lakini ni kuwaunga mkono madaktari katika mgomo huku wakijua wahasirika ni watanzania wa hari chini ambao tegemeo lao nikukombolewa na chadema kutoka kwenye ukandamizwaji wa ccm. Huku si kuwageuka watanzania
Naona wazi sasa sinema la siasa la siasa linavyovutia watu na kuacha watu na matumaini na shida zisizotatulika.
CHADEMA WANASHINDWA KUPIGANIA MAMBO MUHIMU SASA KAMA bei duni za Pamba, na minofu ya samaki Mgomo wa madaktari, Mgogoro wa walimu na selikali au Uporwaji wa madini wanatuletea tena move ya maigizo ya dr Slaa, Myika na Lema eti wanataka kuuawa!!
Lengo la muvu hii watu waache kujadili mambo nyeti wajadili utumbo huo. Mi sasa sioni harakati za chadema bali siasa uchwala. Sioni umoja tena wa chadema bungeni.
Wanasiasa Mnakera, mnakera kweli. Wawaache wanaharakati wadili na Mnyika kwa lipi.
Washabiki wa vyama fumbua macho Chadema washakula chunguza uone.
Siamini kwenye miujiza au habari za kuhusu freemason na mikanda yao ya habari za "microchip".
Ila chadema inavyoenda nahisi sasa Mbowe kawekewa Microchip na sasa anaendeshwa na mtambo uliopo ikulu. Hakuna kitu sasa. Wakulima jipiganieni. Wavuvi jipiganieni, walimu jipiganiene. CHADEMA HAKUNA UMOJA TENA WANAONGEA WANAPATA POSHO wanarara.
siasa siasa siasa zinakera. A
Naona wazi sasa sinema la siasa la siasa linavyovutia watu na kuacha watu na matumaini na shida zisizotatulika.
CHADEMA WANASHINDWA KUPIGANIA MAMBO MUHIMU SASA KAMA bei duni za Pamba, na minofu ya samaki Mgomo wa madaktari, Mgogoro wa walimu na selikali au Uporwaji wa madini wanatuletea tena move ya maigizo ya dr Slaa, Myika na Lema eti wanataka kuuawa!!
Lengo la muvu hii watu waache kujadili mambo nyeti wajadili utumbo huo. Mi sasa sioni harakati za chadema bali siasa uchwala. Sioni umoja tena wa chadema bungeni.
Wanasiasa Mnakera, mnakera kweli. Wawaache wanaharakati wadili na Mnyika kwa lipi.
Washabiki wa vyama fumbua macho Chadema washakula chunguza uone.
Siamini kwenye miujiza au habari za kuhusu freemason na mikanda yao ya habari za "microchip".
Ila chadema inavyoenda nahisi sasa Mbowe kawekewa Microchip na sasa anaendeshwa na mtambo uliopo ikulu. Hakuna kitu sasa. Wakulima jipiganieni. Wavuvi jipiganieni, walimu jipiganiene. CHADEMA HAKUNA UMOJA TENA WANAONGEA WANAPATA POSHO wanarara.
siasa siasa siasa zinakera. A
Naona wazi sasa sinema la siasa la siasa linavyovutia watu na kuacha watu na matumaini na shida zisizotatulika.
CHADEMA WANASHINDWA KUPIGANIA MAMBO MUHIMU SASA KAMA bei duni za Pamba, na minofu ya samaki Mgomo wa madaktari, Mgogoro wa walimu na selikali au Uporwaji wa madini wanatuletea tena move ya maigizo ya dr Slaa, Myika na Lema eti wanataka kuuawa!!
Lengo la muvu hii watu waache kujadili mambo nyeti wajadili utumbo huo. Mi sasa sioni harakati za chadema bali siasa uchwala. Sioni umoja tena wa chadema bungeni.
Wanasiasa Mnakera, mnakera kweli. Wawaache wanaharakati wadili na Mnyika kwa lipi.
Washabiki wa vyama fumbua macho Chadema washakula chunguza uone.
Siamini kwenye miujiza au habari za kuhusu freemason na mikanda yao ya habari za "microchip".
Ila chadema inavyoenda nahisi sasa Mbowe kawekewa Microchip na sasa anaendeshwa na mtambo uliopo ikulu. Hakuna kitu sasa. Wakulima jipiganieni. Wavuvi jipiganieni, walimu jipiganiene. CHADEMA HAKUNA UMOJA TENA WANAONGEA WANAPATA POSHO wanarara.
siasa siasa siasa zinakera. A
Mara zote Chadema ilisema inaunga mkono madai ya madakatari kuhus uboreshwaji wa sekta ya afya mathalani wakati hivi sasa Hospiatalia kubwa ya Tumbi inayohudumia majeruhi wa ajali za barabarani husuana kipande kikubwa cha barabara kuu ya Morogoro, lakini hospiatali hiyo haina huduma ya X-ray inabidi wa wagonjwa wasafirishwe kwenda hospitali binafsi kama vile Bochi iliyoko Kimara Temboni ili kupata huduma hiyo. Madaktari walikuwa wakidai kuwa hospitali ya ngazi ya wilaya ipatiwe mtambo wa X-ray, hivyo serikali ingelazimikakununua mitambo 129 tu kwa kulingana na idadi ya wilya zilizopo. Mtambo wa kisasa kabisa wa X-ray unaghrimu Dola 140,000 tu sawa X Tshs 1570 =Milioni 219,800,000/=.
Hivyo Bilioni 27.5 zilizotumika kuadhimisha sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania, miezi 6 tu iliyopita yaani tar 9 Desemba 2011 zingeweza kununua mitamboa ya X-ray Tshs 27,500,000,000/219,800,000= Mitambo ya Xray 125.
je kama kipi bora kusherehekea miaka 50 ya uhuru kwa wiliya kupatiwa mtamboa wa Xray au wanansiasa kufuja kiasi kikubwa cha fedha kiasi hiki? Fungua macho bro
Mkuu wangu kazi ya Chadema sio kubadilisha sera za CCM..Chadema hawawezi kupigania bebi ya mazo wala mikataba ya madini isipokuwa wanaweza tu kushauri kwa kuonyesha mapungufu na CCM ndio wenye maamuzi ya kufuata ama kutofuata..Naona wazi sasa sinema la siasa la siasa linavyovutia watu na kuacha watu na matumaini na shida zisizotatulika.
CHADEMA WANASHINDWA KUPIGANIA MAMBO MUHIMU SASA KAMA bei duni za Pamba, na minofu ya samaki Mgomo wa madaktari, Mgogoro wa walimu na selikali au Uporwaji wa madini wanatuletea tena move ya maigizo ya dr Slaa, Myika na Lema eti wanataka kuuawa!!
Lengo la muvu hii watu waache kujadili mambo nyeti wajadili utumbo huo. Mi sasa sioni harakati za chadema bali siasa uchwala. Sioni umoja tena wa chadema bungeni.
Wanasiasa Mnakera, mnakera kweli. Wawaache wanaharakati wadili na Mnyika kwa lipi.
Washabiki wa vyama fumbua macho Chadema washakula chunguza uone.
Siamini kwenye miujiza au habari za kuhusu freemason na mikanda yao ya habari za "microchip".
Ila chadema inavyoenda nahisi sasa Mbowe kawekewa Microchip na sasa anaendeshwa na mtambo uliopo ikulu. Hakuna kitu sasa. Wakulima jipiganieni. Wavuvi jipiganieni, walimu jipiganiene. CHADEMA HAKUNA UMOJA TENA WANAONGEA WANAPATA POSHO wanarara.
siasa siasa siasa zinakera. A
William mshumbuzi, mbona haujui kudanganya? ww huyo huyo umesema CDM haitafika 2015, leo unasema umeichoka..., kuna kitu william haukijui, CDM Ni mkusanyiko wa wasomi, maprofessor, Madoctor na degree za kumwaga, sasa wewe willim shule yako bado ni ndogo sana haujui kudanganya. kasome ili uongeze argument