Sina imani tena na Chadema

Sina imani tena na Chadema

Unaupeo mdogo sana jamaa na tena unamawazo mgando, kila neno moja lisemwalo na kiongozi yoyote wa cdm lina athari kwa serikali yako, ndomana wanataka kuwaangamiza, kwani mwaka 2005 si mlisema cdm ni chama cha msimu, sasa mnahofu nini......mbona ccm mnatweta. Mnatuletea wabunge wazee hata kuchanganua mambo hawawezi, kwani ulimboka mlitaka kumuua kwa lipi?be yourself plz!!!!
 
Pamoja na mahaba niliyonayo na CDM leo nimeamua kujisajili JF badala ya kusoma tu threads za wenigne kwa sababu niseme ukweli sasa naanza kuichukia CDM. Hii kwa sababu ya siasa za kibabe tunazozifanya sasa. Mnyika angekubali bungeni kakosea na kujirudi lakini hii staili ya kwenda hadi kwa Mwigulu na kujaribu kuharibu na hatimaye kufanikisha kifo naona sio sahihi kabisa. Hata rangi ya bendera ile nyekundu na rangi ya khaki sasa naitazama vinginevyo, ni kama naanza kuzichukia rangi hizi, natabiri maafa zaidi kama CDM itaendelea hivi.
 
Chadema haina wanachama wapumbavu kama wewe....
 
Haha Malaya wa Kisiasa hawezi kuridhika na chama kimoja, ha ha pole sana wanotoka ni wachache kuliko wanoingia,.. mdogo mdogo mpaka ikulu.
 
Hamna ubabe hapo, fuatilia taarifa ya CDM kwa vyombo vya habari kama kweli upo makini.
 
Pamoja na mahaba niliyonayo na CDM leo nimeamua kujisajili JF badala ya kusoma tu threads za wenigne kwa sababu niseme ukweli sasa naanza kuichukia CDM. Hii kwa sababu ya siasa za kibabe tunazozifanya sasa. Mnyika angekubali bungeni kakosea na kujirudi lakini hii staili ya kwenda hadi kwa Mwigulu na kujaribu kuharibu na hatimaye kufanikisha kifo naona sio sahihi kabisa. Hata rangi ya bendera ile nyekundu na rangi ya khaki sasa naitazama vinginevyo, ni kama naanza kuzichukia rangi hizi, natabiri maafa zaidi kama CDM itaendelea hivi.

We Mwigulu mbona unahangaika?
 
Karibu afisa usalama/mwanamagamba!!

Unahangaika tu , na unakula posho za bure .....hakuna mjinga kama wewe utakae mpata kwenye jukwaa hili!!

Ukiona kuna mtu anakuunga mkono ujue umekaa nae meza moja mmepangiwa tageti yenu kwa siku ya leo!

Nyambaffff!!!!

Kwa Mwingulu ndiyo wapi Mbinguni!!!

Acheni maneno ya kipuuzi watu wote wanaokuja toka mikoa ya bara(ukiacha Ntwara na Lindi) si wanapitia Ubungo!!

Sasa ndio tuseme acheni kupita kwa Mnyika!..
 
Ungekaa kimya uendelee kusoma thread za wengine wenye akili kamwe hakuna ambaye angejua kuwa kuna Kilaza kama wewe. Yaani umeshindwa hata kutumia asilimia kubwa ya kauwezo kako kadoogo kakufikiri na kuona Chama Cha Mabwepande kingeweza kutumia polisi, mahakama na magereza yao na kumshughulikia Mnyika, halafu wangeutangazia umma kupitia radio na TV zao (TBC, ITV, Radio clouds,nk) kuwa CDM wameuwa, acha ujinga, nakushauri usianzishe tena thread maana utaendelea kuonyesha uwezo wako mdogo wa kufikiri, ha ha haa!!!
 
Unanikumbusha hadithi ya fisi aliekuwa anatamani mkono wa mtu udondoke ili apate mlo wake.

Kwa wasioifahamu hadithi hii nitawapa brief yake:

Mtu mmoja alikuwa anatoka safari ya mbali na akawa amechoka kutokana na urefu wa safari yake. Katika kujipa nguvu ya kutembea akawa anatupa mikono - maana mtu hatembei kama wale wanaocheza gwaride la kubana mikono/kutoa heshima. Fisi mmoja nae akiwa hoooi kwa njaa alimuona yule bwana akija na mikono yake ikiwa inatupwa kweli kweli. Fisi akaamini kuwa angalau mkono mmoja wa yule bwana utadondoka, kwa hiyo akawa anafuatilia nyuma nyuma. Kutahamaki, fisi kaingia kijijini na watu wakamshughulikia kikamilifu.
"JAMBO USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA KIZA"
Kumbe hata wewe mwenyewe huifahamu vizur.Mwishoni huyo jamaa kuna sehemu aligeuka ghafla ,fisi akajrusha na kuanguka,alikua anajua mkono unaanguka audake"
Sasa kama unaamini hiyo hadithi ni kweli ingia pale Mabwepande uone kama fisi atakua anakufuatilia kama hiyo hadithi.
 
Chadema wananchi wanaitaji kujua mtawafanyia nini sio siasa zenu za matukio.

Chadema wataanza kwa ku-freeze mali za JK na mtoto wake Ridhiwan, pia tutaakikisha wanaenda jela...
 
Pamoja na mahaba niliyonayo na CDM leo nimeamua kujisajili JF badala ya kusoma tu threads za wenigne kwa sababu niseme ukweli sasa naanza kuichukia CDM. Hii kwa sababu ya siasa za kibabe tunazozifanya sasa. Mnyika angekubali bungeni kakosea na kujirudi lakini hii staili ya kwenda hadi kwa Mwigulu na kujaribu kuharibu na hatimaye kufanikisha kifo naona sio sahihi kabisa. Hata rangi ya bendera ile nyekundu na rangi ya khaki sasa naitazama vinginevyo, ni kama naanza kuzichukia rangi hiz BORA KUKUKOSA WEWE NA KUWAPATA 10000 SASA HVI
 
Hili ni gamba. Kuna jamaa mmoja kanifusahisha sana hapa jf, kasema kuwa ugonjwa wa magamba ukishasambaa mpaka kwenye ubongo ndio tunapata watu kama hawa wanaodiriki kusema kuwa cdm wanafanya 'utumbo'. Nadhani huyu mleta mada mwenyewe ndio utumbo tena ule usiofaa kwa matumizi.

Hakuna mtu wa maana anaweza kukubaliana na hoja yako isiyo ya msingi. Cha kwanza uhai mengine yanafuata. Baki na masagamba yako ... Waache wanaopigania uhuru wa kweli waendelee na kazi zao wewe endelea kulala na ukilaza wako.
 
"Asiyejua maana, haambiwi maana" Endelea kuwa na imani na NYINYIEMU.
 
halafu mimi nikiona kuna vijana bado wanashabikia CCM huwa nawashangaa sana,wengi wao ni wale ambao wazee wao walikuwa mabalozi wa nyumba kumikumi,makatibu na wenyeviti wa ccm ya kipindi hicho kwa hhiyo na watoto wao wakajikuta wamezoea mazingira ya rangi ya kijani . halafu niulize hvi kama mtu anataka kukutoboa jicho kwa kuleta kidole chake hadi kwenye mboni ya jicho.kwa hiyo utamwacha tu au utamshughulikia.
CCM wamechoka, kwakweli
 
Lini ulikuwa na imani na chadema wewe?
Pumba zako tunazikumbuka.
Mbona unakuwa na mawazo kama ya kuku wewe? Eti wapigani bei ya pamba sijui nini! Kwani chadema ndiyo wanaongoza serikali?

Mbona mnapigania posho, kuingia ikulu nk kwa nn mshindwe bei ya pamba ? na hayo yote mnayo yapigania ni kwa maslahi yenu binafsi na si kwa mtanzania, SHAME ON YOU WASHWA WASHWA

Back
Top Bottom