Sina imani tena na Chadema

Huwai kuwa na imani na CDM wala hukuwai hata kuwa na imani ya dini yoyote. coz hujui imani ni nini.
Naona wazi sasa
sinema la siasa la siasa linavyovutia watu na kuacha watu na matumaini
na shida zisizotatulika.

CHADEMA WANASHINDWA KUPIGANIA MAMBO MUHIMU SASA KAMA bei duni za Pamba,
na minofu ya samaki Mgomo wa madaktari, Mgogoro wa walimu na selikali
au Uporwaji wa madini wanatuletea tena move ya maigizo ya dr Slaa, Myika
na Lema eti wanataka kuuawa!!

Lengo la muvu hii watu waache kujadili mambo nyeti wajadili utumbo huo.
Mi sasa sioni harakati za chadema bali siasa uchwala. Sioni umoja tena
wa chadema bungeni.

Wanasiasa Mnakera, mnakera kweli. Wawaache wanaharakati wadili na Mnyika
kwa lipi.

Washabiki wa vyama fumbua macho Chadema washakula chunguza uone.

Siamini kwenye miujiza au habari za kuhusu freemason na mikanda yao ya
habari za "microchip".
Ila chadema inavyoenda nahisi sasa Mbowe kawekewa Microchip na sasa
anaendeshwa na mtambo uliopo ikulu. Hakuna kitu sasa. Wakulima
jipiganieni. Wavuvi jipiganieni, walimu jipiganiene. CHADEMA HAKUNA
UMOJA TENA WANAONGEA WANAPATA POSHO wanarara.

siasa siasa siasa zinakera. A
 
Na ndio maana kuna vyama vingi hivyo una haki ya kutokuwa na imani nao ila utambue kwamba katika kutafuta haki yako unatakiwa uanze wewe ili wanasiasa wadandie hoja kwa kuweka shinikizo kwa mamlaka husika na si kutegeme CDM pekee waje wapiganie zao la pamba wakati wewe hujaoinyesha
 
Back
Top Bottom