Popobawa na wenzako naomba unielewe sijawahi kuwa Shabiki wa CCM Na ndio tusi kubwa kuwahi kutukanwa kuwa shabiki wa CCM
TAtizo la mwafrika ukimkosoa tu basi we mpinzani. Hakuna chama cha siasa Tanzania ni uhuni mtupu kero za watanzania hazina wa kuzipigania.
kaka tatizo apa c kukosolewa, ni kukosoa kwenye maana au la! kama kuwatetea wabongo ulitaka wafanyaje ili uone wewe gamba unaejikana mwenyewe? cku zote CDM wamekua mbele kutetea hak hizo znazokandamizwa na hao magamba wenzio kwa mfano
1.MGOMO WA MADAKTARI:katika maswali ya papo kwa papo mara ngap Mbowe anauliza na kutaka ufafanuzi juu ya hoja hii na anajibibiwa kirahis rahis na wazir mkuu asiejiamini kuliko wote ktk historia ya TZ, na yule bibi kiroboto anasaidia kuizima kila mara wabunge wa CDM wanapotaka bunge lijadili suala hili?
2.MADINI: Zito ni wa CDM aliwai simamishwa ubunge wake kwa zaid ya miez miwili coz alitaka kushughulikiwa kwa wote waliouza mgod wa BUZWAGI ktk bunge la SAMWEL SITTA
3.WALIMU:ni mara ngap CDM wanapendekeza kua kwa nch kama hii serikali inapaswa kulipa kima cha chini kisichopungua 315,000/= kwa watumish wake na magamba nyie mnabana? je hapo kilio cha walimu hakijatetewa na CDM?
4.Ivi ni kwa vp unawavaa CDM kuhusu matatizo ya nchi hii na unaisahau kabisa NYINYIEM walioshika dola kwa wizi, udhalimu, mabavu na ufisad uliotopea?
Kaka mind u ni bora hao CDM kutuarifu sisi kama umma mapema coz kwa sasa lazima wapunguze kas ya huo mpango mchafu mana wanajua mda c mrefu tutaingia road wakikamilisha dili lao chafu kama la DR ULI!
MWISHO NAOMBA UJE KUKOSOA UKIWA UNBIASED COZ KWA STAILI HII ME LAZIMA NIKUONE GAMBA TU UNJIPENDEKEZA NA MCHUMIA TUMBO USIEAMIN UWEZO WAKO ALIOKUPA MUNGU! THANX KAKA PA1