Chadema kwisha kazi yake. Hawamalizi huu mwaka.
Ile ni NGO ya Mbowe na Mtei wengine wote ni watumishi, wajanja wameanza kufunguka macho, ila wa kuja bado wamekomaaa, siasa ni mchezo msaaaaaaaaafi sana
Naona wazi sasa sinema la siasa la siasa linavyovutia watu na kuacha watu na matumaini na shida zisizotatulika.
CHADEMA WANASHINDWA KUPIGANIA MAMBO MUHIMU SASA KAMA bei duni za Pamba, na minofu ya samaki Mgomo wa madaktari, Mgogoro wa walimu na selikali au Uporwaji wa madini wanatuletea tena move ya maigizo ya dr Slaa, Myika na Lema eti wanataka kuuawa!!
Lengo la muvu hii watu waache kujadili mambo nyeti wajadili utumbo huo. Mi sasa sioni harakati za chadema bali siasa uchwala. Sioni umoja tena wa chadema bungeni.
Wanasiasa Mnakera, mnakera kweli. Wawaache wanaharakati wadili na Mnyika kwa lipi.
Washabiki wa vyama fumbua macho Chadema washakula chunguza uone.
Siamini kwenye miujiza au habari za kuhusu freemason na mikanda yao ya habari za "microchip".
Ila chadema inavyoenda nahisi sasa Mbowe kawekewa Microchip na sasa anaendeshwa na mtambo uliopo ikulu. Hakuna kitu sasa. Wakulima jipiganieni. Wavuvi jipiganieni, walimu jipiganiene. CHADEMA HAKUNA UMOJA TENA WANAONGEA WANAPATA POSHO wanarara.
siasa siasa siasa zinakera. A

Maisha bora kwa kila mwananchi na kipigo kikali cha kufa mtu kwa kila anayepinga harakati za CCM kuwakandamiza watumishi!