Chadema haina wanachama wapumbavu kama wewe....Pamoja na mahaba niliyonayo na CDM leo nimeamua kujisajili JF badala ya kusoma tu threads za wenigne kwa sababu niseme ukweli sasa naanza kuichukia CDM. Hii kwa sababu ya siasa za kibabe tunazozifanya sasa. Mnyika angekubali bungeni kakosea na kujirudi lakini hii staili ya kwenda hadi kwa Mwigulu na kujaribu kuharibu na hatimaye kufanikisha kifo naona sio sahihi kabisa. Hata rangi ya bendera ile nyekundu na rangi ya khaki sasa naitazama vinginevyo, ni kama naanza kuzichukia rangi hizi, natabiri maafa zaidi kama CDM itaendelea hivi.
Pamoja na mahaba niliyonayo na CDM leo nimeamua kujisajili JF badala ya kusoma tu threads za wenigne kwa sababu niseme ukweli sasa naanza kuichukia CDM. Hii kwa sababu ya siasa za kibabe tunazozifanya sasa. Mnyika angekubali bungeni kakosea na kujirudi lakini hii staili ya kwenda hadi kwa Mwigulu na kujaribu kuharibu na hatimaye kufanikisha kifo naona sio sahihi kabisa. Hata rangi ya bendera ile nyekundu na rangi ya khaki sasa naitazama vinginevyo, ni kama naanza kuzichukia rangi hizi, natabiri maafa zaidi kama CDM itaendelea hivi.

"JAMBO USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA KIZA"Unanikumbusha hadithi ya fisi aliekuwa anatamani mkono wa mtu udondoke ili apate mlo wake.
Kwa wasioifahamu hadithi hii nitawapa brief yake:
Mtu mmoja alikuwa anatoka safari ya mbali na akawa amechoka kutokana na urefu wa safari yake. Katika kujipa nguvu ya kutembea akawa anatupa mikono - maana mtu hatembei kama wale wanaocheza gwaride la kubana mikono/kutoa heshima. Fisi mmoja nae akiwa hoooi kwa njaa alimuona yule bwana akija na mikono yake ikiwa inatupwa kweli kweli. Fisi akaamini kuwa angalau mkono mmoja wa yule bwana utadondoka, kwa hiyo akawa anafuatilia nyuma nyuma. Kutahamaki, fisi kaingia kijijini na watu wakamshughulikia kikamilifu.
Chadema wananchi wanaitaji kujua mtawafanyia nini sio siasa zenu za matukio.
Pamoja na mahaba niliyonayo na CDM leo nimeamua kujisajili JF badala ya kusoma tu threads za wenigne kwa sababu niseme ukweli sasa naanza kuichukia CDM. Hii kwa sababu ya siasa za kibabe tunazozifanya sasa. Mnyika angekubali bungeni kakosea na kujirudi lakini hii staili ya kwenda hadi kwa Mwigulu na kujaribu kuharibu na hatimaye kufanikisha kifo naona sio sahihi kabisa. Hata rangi ya bendera ile nyekundu na rangi ya khaki sasa naitazama vinginevyo, ni kama naanza kuzichukia rangi hiz BORA KUKUKOSA WEWE NA KUWAPATA 10000 SASA HVI
Chadema haina wanachama wapumbavu kama wewe....
Lini ulikuwa na imani na chadema wewe?
Pumba zako tunazikumbuka.
Mbona unakuwa na mawazo kama ya kuku wewe? Eti wapigani bei ya pamba sijui nini! Kwani chadema ndiyo wanaongoza serikali?