JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 500
Kumbe cdm ndio inaongoza serikali? Kusanya sign za wabunge za kutokuwa na Imani na rais wetu Dr slaa
Kazi yako kulalama tu, tunataka uwe sehemu ya mabadiliko kwa kuhamasisha watu wajiandikishe na kupiga kura! Kwan chadema imeunda serikali lini? wanachoweza kufanya ni kuhamasisha wananchi wajue namna ya kutetea haki zao!
unachoka kusoma mistari ya robo ukurasa?au ndo ata biskuti kuvunja unachoka meen..mkuu kwani lazima quote post yote unatuchosha bwana c uchangie tu
Haina kweli wanachama wap,umbavu ila ina washabiki wapum.bavu kama wewe,ambae unashindwa kuheshimu mawazo ya wengne unajiona wewe ndio unajua kila kitu,heshimu mawazo ya watu changia kwa point sio matusi,
"The mind is not a vessel to be filled but a fire to be ignited" so do not expect CHADEMA to come up with something to fill up your mind,see, think,take action. Mambo ya kutishiwa kwenye politics yapo. Na hakuna mtu yeyote anaeweza kukanusha hilo isipokuwa kwa amri ya mahakama na sio kama hizo pumba ulizotumwa uweke apo na wanaokununulia dagaa.Naona wazi sasa sinema la siasa la siasa linavyovutia watu na kuacha watu na matumaini na shida zisizotatulika.
CHADEMA WANASHINDWA KUPIGANIA MAMBO MUHIMU SASA KAMA bei duni za Pamba, na minofu ya samaki Mgomo wa madaktari, Mgogoro wa walimu na selikali au Uporwaji wa madini wanatuletea tena move ya maigizo ya dr Slaa, Myika na Lema eti wanataka kuuawa!!
Lengo la muvu hii watu waache kujadili mambo nyeti wajadili utumbo huo. Mi sasa sioni harakati za chadema bali siasa uchwala. Sioni umoja tena wa chadema bungeni.
Wanasiasa Mnakera, mnakera kweli. Wawaache wanaharakati wadili na Mnyika kwa lipi.
Washabiki wa vyama fumbua macho Chadema washakula chunguza uone.
Siamini kwenye miujiza au habari za kuhusu freemason na mikanda yao ya habari za "microchip".
Ila chadema inavyoenda nahisi sasa Mbowe kawekewa Microchip na sasa anaendeshwa na mtambo uliopo ikulu. Hakuna kitu sasa. Wakulima jipiganieni. Wavuvi jipiganieni, walimu jipiganiene. CHADEMA HAKUNA UMOJA TENA WANAONGEA WANAPATA POSHO wanarara.
siasa siasa siasa zinakera. A
hawa jamaa wasipobadilika itakula kwao mazima,mana siasa zao sasa ni mauaji,vitisho na ukatili.
Mkuu popularity ya CDM inashuka kwa kasi, ni vema wajipange
Lini ulikuwa na imani na chadema wewe?
Pumba zako tunazikumbuka.
Mbona unakuwa na mawazo kama ya kuku wewe? Eti wapigani bei ya pamba sijui nini! Kwani chadema ndiyo wanaongoza serikali?
hata baba yako mm simuamini.
Ushahidi tafadhali?!
umejaribu kufuatilia headlines za leo? Hata Tanzania Daima inaisifia CCM
Eh! Leo Tanzania Daima limekuwa reference ya mwana CCM??!!
Ebu nipatie kwanza hizo headlines chifu.
Naona mawazo yako ni finyu kama ya wanachadema wenzako, ndo wamekutuma uje utukane na kuonyesha umahiri wako wa kutusika? Kwa taarifa yako mimi ni muumini mtiifu wa Mfalme wa Wafalme yaani YESU KRISTO MWENYE HAKI.
Linatoa sifa kwa Kinana na CCM kwa kuisimamia serikali, hadi inasababisha baadhi ya mawaziri kumuogopa