Sina imani tena na Chadema

Sina imani tena na Chadema

Pamoja na mahaba niliyonayo na CDM leo nimeamua kujisajili JF badala ya kusoma tu threads za wenigne kwa sababu niseme ukweli sasa naanza kuichukia CDM. Hii kwa sababu ya siasa za kibabe tunazozifanya sasa. Mnyika angekubali bungeni kakosea na kujirudi lakini hii staili ya kwenda hadi kwa Mwigulu na kujaribu kuharibu na hatimaye kufanikisha kifo naona sio sahihi kabisa. Hata rangi ya bendera ile nyekundu na rangi ya khaki sasa naitazama vinginevyo, ni kama naanza kuzichukia rangi hizi, natabiri maafa zaidi kama CDM itaendelea hivi.
Acha ujinga, mahaba na cdm uwenayo wewe? na hilo lichama lako la mabwepande utamuachia nani?
 
Chadema haina wanachama wapumbavu kama wewe....

Haina kweli wanachama wap,umbavu ila ina washabiki wapum.bavu kama wewe,ambae unashindwa kuheshimu mawazo ya wengne unajiona wewe ndio unajua kila kitu,heshimu mawazo ya watu changia kwa point sio matusi,
 
unatafuta matatizo hicho chama ni kama mungu mtu ukikigusa tu waweza ata ukapewa ban.
lakin ukweli hakuna mwanasiasa huko CDM ni wanaharakati tu wawezaje kumtofautisha Usu malya, ananilea nkya , Hellen kijo, Mary lusimbi, leyila Sheihk na akina tundu, wenje, lissu nk
 
"JAMBO USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA KIZA"
Kumbe hata wewe mwenyewe huifahamu vizur.Mwishoni huyo jamaa kuna sehemu aligeuka ghafla ,fisi akajrusha na kuanguka,alikua anajua mkono unaanguka audake"
Sasa kama unaamini hiyo hadithi ni kweli ingia pale Mabwepande uone kama fisi atakua anakufuatilia kama hiyo hadithi.

Hiyo ni version yako, mimi nilitoa yangu! Kama siifahamu vizuri version yako si tatizo.
 
Mwaweza kujenga hoja hata bila kutukanana!

Haina kweli wanachama wap,umbavu ila ina washabiki wapum.bavu kama wewe,ambae unashindwa kuheshimu mawazo ya wengne unajiona wewe ndio unajua kila kitu,heshimu mawazo ya watu changia kwa point sio matusi,
 
Mtoa mada nakushauri ukajiunge na Nape na Kovu katika uenezi wa CHAMA
 
hawa jamaa wasipobadilika itakula kwao mazima,mana siasa zao sasa ni mauaji,vitisho na ukatili.
 
kwa haraka haraka wanaweza kupinga kuwa hawahusiki katika mauaji ya ndago huko iramba lakini haihitaji elimu ya chuo kikuu mtu kumjua muuaji ni nani.

jiulize,mbona kabla ya mkutano wao hapakuwa na mauaji????????????????????????

kwanini tukio limetokea sasa??

hapa jamaaa watakana sana lakini wameua
 
hiki chama kwa kweli hakitupeleki kuzuri,nina wasiwasi na future ya tanzania in the presence of chadema.

nawaomba viongozi wake wawe smart sana katika conduct zao.

ukiona watu wanakusema sema kwa ubaya usidharau,fanyia kazi,jirekebishe
 
hiki chama kwa kweli hakitupeleki kuzuri,nina wasiwasi na future ya tanzania in the presence of chadema.

nawaomba viongozi wake wawe smart sana katika conduct zao.

ukiona watu wanakusema sema kwa ubaya usidharau,fanyia kazi,jirekebishe
Mbona Magamba yanasemwa sana kwa ubaya lakini bado yanadharau, hayafanyii kazi wala kujirekebisha lakini huyaambii? Hivi una akili timamu kweli au ndio nyie akili zenu zinazidiwa na za panzi?
 
kwa haraka haraka wanaweza kupinga kuwa hawahusiki katika mauaji ya ndago huko iramba lakini haihitaji elimu ya chuo kikuu mtu kumjua muuaji ni nani.

jiulize,mbona kabla ya mkutano wao hapakuwa na mauaji????????????????????????

kwanini tukio limetokea sasa??

hapa jamaaa watakana sana lakini wameua

Pia tunatakiwa tujiulize kuwa cdm wamefanya mikutano majimbo mengi sana na hawajawahi kufanyiwa fujo na mauaji yakatokea isipokuwa ni iramba mgh.kwa hiyo walio fanya fujo na kuua ni ccm na mwigulu.
 
vyama maslahi na misaada ya wazungu ndio matokeo yake haya.wanataka kumridhisha mzungu kwa kupiga picha katika matukio mbalimbali ili wakiwapelekea waume zao huko wapewe pesa,watanzania lazima tuwe makini sana
 
naona wazi sasa sinema la siasa la siasa linavyovutia watu na kuacha watu na matumaini na shida zisizotatulika.

Chadema wanashindwa kupigania mambo muhimu sasa kama bei duni za pamba, na minofu ya samaki mgomo wa madaktari, mgogoro wa walimu na selikali au uporwaji wa madini wanatuletea tena move ya maigizo ya dr slaa, myika na lema eti wanataka kuuawa!!

Lengo la muvu hii watu waache kujadili mambo nyeti wajadili utumbo huo. Mi sasa sioni harakati za chadema bali siasa uchwala. Sioni umoja tena wa chadema bungeni.

Wanasiasa mnakera, mnakera kweli. Wawaache wanaharakati wadili na mnyika kwa lipi.

Washabiki wa vyama fumbua macho chadema washakula chunguza uone.

Siamini kwenye miujiza au habari za kuhusu freemason na mikanda yao ya habari za "microchip".
Ila chadema inavyoenda nahisi sasa mbowe kawekewa microchip na sasa anaendeshwa na mtambo uliopo ikulu. Hakuna kitu sasa. Wakulima jipiganieni. Wavuvi jipiganieni, walimu jipiganiene. Chadema hakuna umoja tena wanaongea wanapata posho wanarara.

Siasa siasa siasa zinakera. A
si uache kwani umelazimishwa?nakumbuka mwakyembe alianza na vitisho hivyo2 akawa anaongea watu wanampuuzia lakini mwisho wake kilitokea kilichotokea na wewe ni shaidi, waache waeleze ukweli uliopo hata kikitokea tunajua kwamba walishaeleza tangu mwanzo,wanauana wenyewe kwa wenyewe washindwe wapinzani?we jitoe tu kwenye siasa kama umeshindwa
 
JFM na wengine acheni ushabiki wa siasg bila macho.

Ivi mnyika na slaa ni muhimu kuliko wagonjwa wote wanaokufa leo kwa kukosa huduma. Mbona hawajawahi kuwaita waandishi kutoa msimamo wanatuletea maigizo humu.

Akifa mwanaharakati moja wanazariwa wengine 10. Acha waende watokee wengine wenye nguvu zaidi

Gongo la mchana jua kali, ndo mawazo kama haya
 
JFM na wengine acheni ushabiki wa siasg bila macho.

Ivi mnyika na slaa ni muhimu kuliko wagonjwa wote wanaokufa leo kwa kukosa huduma. Mbona hawajawahi kuwaita waandishi kutoa msimamo wanatuletea maigizo humu.

Akifa mwanaharakati moja wanazariwa wengine 10. Acha waende watokee wengine wenye nguvu zaidi

Buluga hilo,ndo maana uwezo wako wa kufikiria ni mdogo, umeambiwa kila mwaka wanafunzi zaidi ya 1000 wanhitimu shahada ya udaktari nchini,wanaoajiriwa ni 200, 800 wanakwenda wapi,inaju serikali ya magamba, ulietoa hii mada ni gamba na mtahukumiwa kwa maovu mnayowafanyia watanzania.
 
yaani wewe ndo bwabwa la kwanza la magamba

Naona mawazo yako ni finyu kama ya wanachadema wenzako, ndo wamekutuma uje utukane na kuonyesha umahiri wako wa kutusika? Kwa taarifa yako mimi ni muumini mtiifu wa Mfalme wa Wafalme yaani YESU KRISTO MWENYE HAKI.
 
Ww mtoa mada akili yako ni dhaifu sana kweli shule umekwenda au?.angalia mada za kutoa usione sifa kutukanwatukanwa na watu.
 
Kwanini unakichukia chama cha demokrasia na maendeleo?hili ndilo swali ambalo mara nyingi huwa najiuliza bila kupata majibu.

Ni kitu gani ambacho chama hiki kimefanya mpaka wewe ukakichukia?.

Una sababu zipi ambazo nizamsingi zitakazo tusababisha tuamini kuwa kweli chama hiki kilifanya makosa ya kupelekea wewe kukichukia kiasi hicho.

Toa sababu za msingi.

( NENO LA LEO: ANAEPENDA MZAHA HAPENDI KUKARIPIWA.)
 
Back
Top Bottom