Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,452
- 609
bila shaka ilikuwa dry
Kwa sasa sina ushauri.....nipo kwenye kutafuta ndege huku.......bado hatujaona mpaka sasa......
Nimeolewa na nina watoto 2, mimi ni muajiriwa na mume wangu pia muajiriwa serikalini, siku moja ilikuwa birthday ya mume wangu but alisahau ikabidi nimfanyie suprise kumpelekea zawadi ikiwemo keki ofisini kwake wakati wa lunch time, kufika ofisini kwake secretary wake sikumkuta ila nilihisi mume wangu yupo ofisini me moja kwa moja kufungua mlango kwa shangwe zote nikichokikuta humo ndicho kinachoniumiza mpk leo ,mume wangu amemuinamisha secretary wake wakihave sex,kesi ilikuwa kubwa but nikajitahidi kumsamehe ila tatizo sina hamu ya kufanya nae mapenzi tena bcoz ile picha iko ndani ya ubongo wangu yaani K yangu imekufa ganzi kabisaaa katika swala la sex ,nifanyeje jamani
kabla sijaolewa mahusiano yalikuwa yananishinda kwasababu ya hayo mambo rafiki zangu wakawa wananiambia hutakaa uolewa maana wanaume wote wako hivyo utaacha wangapi? nikasema kama hvyo ndivyo basi kweli ndoa ntaisikia tu hatimaye nikampata mtulivu nikaolewa, sasa na yeye akinichanganya sioni tatizo kutoka kwa kweli na nazani itakuwa ndo mwanzo na mwisho wa mimi kuwa na mtu anaeitwa mwanaume
yaani kusex na mwingine tu ndio usingeweza kuishi nae?
Kwa avatar hiyo, sasa hivi utapata wa kukutia hamu ya 'ku-have sex:biggrin1:'
Ningekuwa na kampuni ningekuweka kitengo cha marketing, unaimudu sana hii kazi.
Hapa kuna some sort of 'strategic scenario with matangazo at work'. I too much read between the lines, hadi kuna saa najikuta na-read between the legs.
So, what exactly are u planning to achieve from this post of yours!?
kazi kweli kweli!kwani vigezo gani unatumia kufahamu jinsi(a) ya mtu?jaribu kupitia hata profile mkuu!
Ehhhh! Konnie you wanna join the club?
wachaga bwana wenyewe pesa tu
pole inatokeaga ,good day!Hahahahahaaaaaaa, dah samahani mkuu siku zote najua wewe ni KE! Dah, nisamehe bure aisee!!