Sina hamu na mume wangu

Sina hamu na mume wangu

Ondokeni kwenye environment mulokuwa nayo fanyeni safari ya mbali na mulipo pamoja.
 
Mmmh! Inataka moyo kulibeba hili


Nimeolewa na nina watoto 2, mimi ni muajiriwa na mume wangu pia muajiriwa serikalini, siku moja ilikuwa birthday ya mume wangu but alisahau ikabidi nimfanyie suprise kumpelekea zawadi ikiwemo keki ofisini kwake wakati wa lunch time, kufika ofisini kwake secretary wake sikumkuta ila nilihisi mume wangu yupo ofisini me moja kwa moja kufungua mlango kwa shangwe zote nikichokikuta humo ndicho kinachoniumiza mpk leo ,mume wangu amemuinamisha secretary wake wakihave sex,kesi ilikuwa kubwa but nikajitahidi kumsamehe ila tatizo sina hamu ya kufanya nae mapenzi tena bcoz ile picha iko ndani ya ubongo wangu yaani K yangu imekufa ganzi kabisaaa katika swala la sex ,nifanyeje jamani
 
Akili yangu inagoma kuamini amini km kadhia hiyo ilitokea kweli. Km ni kweli..nisamehe.
Any way...ni wewe uliye kubali kuolewa naye....na ni wewe utakayeamua kuachana naye ama kuendelea naye. sisi ni macho na masikio yetu tu.
 
Hii nayo issue?Kosa la kwanza unakuwa hivyo?Vumilia ndiyo ndoa ilivyo

Kilichomponza huyo bidada ni kiherehere chake cha kuiga mambo ya kizungu. Hizi tamthilia zinawaponza sana mabinti. Eti kaenda kumfanyia sapraiz, matokeo yake kasapraiziwa yeye afu analialia hapa. Mngekubaliana na ukweli kuwa mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja huu upuuz.i wa visapraiz vya kijinga, maisha ya ndoa yangekuwa salama sana.

Na liwe fundisho kwa wengine ili kuukwepa ugonjwa wa ganzi ya K.
 
Mnazidi kufatana hadi ofisini saprise gani hiyo msubirie nyumbani umkabizi zawadi yako mnafatana utazani njiwa zilizo tagwa kwa pamoja

Yani wewe una akili kama Mugabe. Mambo ya kufatanafatana mpaka ofisini ndo ukenge wenyewe. Mi hata sijui ofisi ya wife ikoje na yeye hata hajui jengo ofisi zangu ilipo linafananaje. Na yetu ni ndoa ya zaidi ya miaka kumi.
 
mhhh...una moyoo...me ninge-cheat kujisahaulisha stress hizo..but waangalie sana watoto wasiwe affected,ts not their fault
hapo utakuwa unamkomesha nani...?? Na hili ndo kosa wanalofanyaga wanawake wengi sana.
 
pole sana dada kusalitiwa kunauma saaana na ubaya wake inakuwa vigumu kumuamini tena,Mungu akutie nguvu.
 
Maandiko yenyewe yanakataza,
Kwa dhambi ya uzinzi nje ya ndoa,Hapo ndoa lazima ivunjike..Mimi Huo Moyo Wa kulea Msalilti Sina.
 
Back
Top Bottom