Sina hamu na mume wangu

Sina hamu na mume wangu

Very true, kuna mtu ile aidia tu ya yeye kuwa na mwanmke mwingine unakonda kabisa.

Lakini mwingine unamkumbusha tu kutumia kinga msije kufa, haya mambo haya yako moyoni.

May the Lord bless us jamani, inatisha sana kuchitiwa na mtu unayemfeel hadi rohoni.

Power iko moyoni, wala si kwa sex organs; na maumivu yapo huko huko kwa moyo. Ndio maana waweza sex na mtu usomfeel na hata ukisikia yuko na mtu mwingine usiumie. Lkn mtu ulompenda na uliyemuamini, it hurts more than death itself.
 
huwez sahau hyo picha kamwe dada angu,..ila kinachoweza fanya usahau kamwe,is,nawewe tafta mtu ucheat hata miez sita make sure hajui,hyo itakujengea psychologicaly kua umelipiza kisas n afta that utaona mwenyew lile dukuduku lote lmeisha,..mbal na hapo haiwezekan kusahau,wasikudanganye hao,ukwel ndo huu,..TUWE HONEST JAMAN
 
Nimeolewa na nina watoto 2, mimi ni muajiriwa na mume wangu pia muajiriwa serikalini, siku moja ilikuwa birthday ya mume wangu but alisahau ikabidi nimfanyie suprise kumpelekea zawadi ikiwemo keki ofisini kwake wakati wa lunch time, kufika ofisini kwake secretary wake sikumkuta ila nilihisi mume wangu yupo ofisini me moja kwa moja kufungua mlango kwa shangwe zote nikichokikuta humo ndicho kinachoniumiza mpk leo ,mume wangu amemuinamisha secretary wake wakihave sex,kesi ilikuwa kubwa but nikajitahidi kumsamehe ila tatizo sina hamu ya kufanya nae mapenzi tena bcoz ile picha iko ndani ya ubongo wangu yaani K yangu imekufa ganzi kabisaaa katika swala la sex ,nifanyeje jamani

Pengine kuna vitu anamiss kwako jaribu kutafiti ili angalau ujue ni vitu gani anahitaji kutoka kwako, japo si rahisi kumridhisha mwanadamu. Then ukumbuke, "Yaliyopita si ndwele ......"
 
Tabia ni kama rangi ya ngozi kuibadili totally ni ngumu hata walioficha makucha ipo siku yanaonekana!
kama za mwizi 40. ww unafkr 39 za nyuma picha ilikuwaje?
 
Nimeolewa na nina watoto 2, mimi ni muajiriwa na mume wangu pia muajiriwa serikalini, siku moja ilikuwa birthday ya mume wangu but alisahau ikabidi nimfanyie suprise kumpelekea zawadi ikiwemo keki ofisini kwake wakati wa lunch time, kufika ofisini kwake secretary wake sikumkuta ila nilihisi mume wangu yupo ofisini me moja kwa moja kufungua mlango kwa shangwe zote nikichokikuta humo ndicho kinachoniumiza mpk leo ,mume wangu amemuinamisha secretary wake wakihave sex,kesi ilikuwa kubwa but nikajitahidi kumsamehe ila tatizo sina hamu ya kufanya nae mapenzi tena bcoz ile picha iko ndani ya ubongo wangu yaani K yangu imekufa ganzi kabisaaa katika swala la sex ,nifanyeje jamani

Wewe Ni Muongo!
 
Mume wangu amekiri kosa na kesi haikuwa ndogo nami nilichukua muda kurudiana nae ila ki ukweli ni mume anayenijali mm pamoja na watoto amejitahidi kunirudisha kwenye mood yangu but mimi wapii

Sasa naomba nikupe ushauri wa maana sana na ambao utaijenga ndoa yako, ni wanaume wachache sana wanaokiri makosa na kuomba msamaha na kutafuta njia ya kukusahaulisha huyo wa kwako hapo kafuzu, naomba uzingatie pia kuwa ata yeye moyoni atakuwa anaumia kwa hiyo situation maana ni ya aibu kwa upande wake pia, kwa vile amekiri makosa yake, msamehe mpaka rohoni na anza sasa kumuhudumia vile ipasavo hiyo inaweza ikawa ndio njia ya yeye kuacha uzinzi. Ukiendelea kumchukia atachoka na itafika time atafanya ya ajabu zaidi ya hayo like kulala nje, kunywa pombe kupita kiasi na mengine mengi, Sahau, Samehe na fungua moyo wa upendo upya
 
pole sana dada yangu kwa hilo liliokupata ,ni ngumu kwa kweli hamna mtu anaweza kusema anayasikia maumivu unayoyapata ,ni maumivu makubwa.pia nikupongeze kwa uvumilivu ulio nao wa japo kuendelea na mahusiano mme wako ni kitu kikubwa,sio ajabu ni ni rahisi kuelewa wewe ni mwanamke mwema kwa kiasi kikubwa.
lakini ni vyema kusamehe na kuanza upya tafuteni siku na mumeo mtoke mkae sehemu yenye utulivu ujaribu tu kuvisualize mazuri aliyowahi kukufanyia mmeo ujitahidi kuignore na kudeny hiki kitendo time heals and cures ,itachukua muda lakini ukiamua kusamehe na kusahu inawezekana,kila la heri dada yangu!
 
Pole mamyy ila zidisha duaa hayo ni mapito tu yaani wanaume ni waajabu sana ila jikaze utashinda duniani na akhera pia
 
Very true, kuna mtu ile aidia tu ya yeye kuwa na mwanmke mwingine unakonda kabisa.

Lakini mwingine unamkumbusha tu kutumia kinga msije kufa, haya mambo haya yako moyoni.

May the Lord bless us jamani, inatisha sana kuchitiwa na mtu unayemfeel hadi rohoni.

Umeongea kwa uzoefu sana sista...
 
Chukua likizo na uende kwa wazazi au ndugu ambao wako mbali na hapo unapoishi naamini likizo ikiisha utakuwa hata umemkumbuka kidogo na hizo stress zitakuwa zimepungua moyoni mwako

Nimeolewa na nina watoto 2, mimi ni muajiriwa na mume wangu pia muajiriwa serikalini, siku moja ilikuwa birthday ya mume wangu but alisahau ikabidi nimfanyie suprise kumpelekea zawadi ikiwemo keki ofisini kwake wakati wa lunch time, kufika ofisini kwake secretary wake sikumkuta ila nilihisi mume wangu yupo ofisini me moja kwa moja kufungua mlango kwa shangwe zote nikichokikuta humo ndicho kinachoniumiza mpk leo ,mume wangu amemuinamisha secretary wake wakihave sex,kesi ilikuwa kubwa but nikajitahidi kumsamehe ila tatizo sina hamu ya kufanya nae mapenzi tena bcoz ile picha iko ndani ya ubongo wangu yaani K yangu imekufa ganzi kabisaaa katika swala la sex ,nifanyeje jamani
 
Mh, pole sana aisee! Kama ulishasamehe mwombe sana Mungu usahau japo it will take time!! lakini pia wewe ni mke wa mtu, hiyo avator vipi?
Nimeolewa na nina watoto 2, mimi ni muajiriwa na mume wangu pia muajiriwa serikalini, siku moja ilikuwa birthday ya mume wangu but alisahau ikabidi nimfanyie suprise kumpelekea zawadi ikiwemo keki ofisini kwake wakati wa lunch time, kufika ofisini kwake secretary wake sikumkuta ila nilihisi mume wangu yupo ofisini me moja kwa moja kufungua mlango kwa shangwe zote nikichokikuta humo ndicho kinachoniumiza mpk leo ,mume wangu amemuinamisha secretary wake wakihave sex,kesi ilikuwa kubwa but nikajitahidi kumsamehe ila tatizo sina hamu ya kufanya nae mapenzi tena bcoz ile picha iko ndani ya ubongo wangu yaani K yangu imekufa ganzi kabisaaa katika swala la sex ,nifanyeje jamani
 
Yaani ulivyosema umemkuta amemuinamisha

Halafu nikaangalia hiyo avatar yako

Mmmmmmmhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!
 
hata biblia kwa sisi wakristo inakuruhu kuvunja ndoa endapo mwenzio atafanya uasherati nje ya ndoa

hapana madama hapasemi hivyo pengine haukupaelewa kwa usahihi,kapasome tena.
biblia inasema of course kwa kosa la usaliti/uzinzi ndoa yaweza kuvunjwa lakini bible inasisitiza ni sababu ya ugumu wa mioyo ya wato(kusamehe)na kuonesha jinsi ilivyotiliwa msisitizo mkishaachana hauruhusiwi kuolewa tena mpaka huyo mtalaka atakapofariki,
 
Back
Top Bottom