muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,542
- 3,587
Aisee wewe unabusara kweli, dah! Hadi moyo wangu umekudondokea ghafla! Vipi umeshaolewa? Kama bado mie nikuweke ndani uwe bi mdogo au vipi? (just kidding, but hongera kwa busara!)
pole sana dada yangu kwa hilo liliokupata ,ni ngumu kwa kweli hamna mtu anaweza kusema anayasikia maumivu unayoyapata ,ni maumivu makubwa.pia nikupongeze kwa uvumilivu ulio nao wa japo kuendelea na mahusiano mme wako ni kitu kikubwa,sio ajabu ni ni rahisi kuelewa wewe ni mwanamke mwema kwa kiasi kikubwa.
lakini ni vyema kusamehe na kuanza upya tafuteni siku na mumeo mtoke mkae sehemu yenye utulivu ujaribu tu kuvisualize mazuri aliyowahi kukufanyia mmeo ujitahidi kuignore na kudeny hiki kitendo time heals and cures ,itachukua muda lakini ukiamua kusamehe na kusahu inawezekana,kila la heri dada yangu!