Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
aisee HAPANA siwezi nina moyo wa ajabu sana
ukiolewa utaelewa.
aisee HAPANA siwezi nina moyo wa ajabu sana
yaani kusex na mwingine tu ndio usingeweza kuishi nae?
KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI! Utaacha wangapi ndugu yangu.
ukiolewa utaelewa.
Hata nami kwa nguvu zangu za kibinadamu, SIWEZI. Kwanini? Upendo unaisha on the spot, trust inapotea hebu niambie nini kitabaki ktk ndoa kama vitu vya msingi (trust na love) havipo; ni pesa, kuitwa mke wa fulani au mali tulizochangia, maana kama ni watoto hata ndoa ikivunjika haibadilishi the fact kuwa ni watoto wa mimi na yeye.
Bora aombe kujibrekisha kwa muda, akiona anamuhitaji bado ndio arudi. Kupona ukiwa hapo hapo home kazi sana.
Nipo kwenye ndoa
si sawa ila pia si sababu ya kushindwa kuendelea kuishi nae.
KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI! Utaacha wangapi ndugu yangu.
I know, nilijaribu kujitoa ukaunga na kujivika u@gfsonwin wakati namshauri hili.
na wewe sist kaunga ukiolewa utalielewa hili ninalowaambia.
ofcoz bado changa, ila sio sababu ndugu yangu ndivyo nilivyoumbwa na nikisema nijilazimishe iko siku watakuta nimekufa humo ndani na sio kwa kujiua ila moyo wangu wont be able to take itndoa yako itakuwa bado changa. ngoja ikomae.
Nimeolewa na nina watoto 2, mimi ni muajiriwa na mume wangu pia muajiriwa serikalini, siku moja ilikuwa birthday ya mume wangu but alisahau ikabidi nimfanyie suprise kumpelekea zawadi ikiwemo keki ofisini kwake wakati wa lunch time, kufika ofisini kwake secretary wake sikumkuta ila nilihisi mume wangu yupo ofisini me moja kwa moja kufungua mlango kwa shangwe zote nikichokikuta humo ndicho kinachoniumiza mpk leo ,mume wangu amemuinamisha secretary wake wakihave sex,kesi ilikuwa kubwa but nikajitahidi kumsamehe ila tatizo sina hamu ya kufanya nae mapenzi tena bcoz ile picha iko ndani ya ubongo wangu yaani K yangu imekufa ganzi kabisaaa katika swala la sex ,nifanyeje jamani
yaani kusex na mwingine tu ndio usingeweza kuishi nae?
ni suala la muda tu, wanawake wanapitia machungu mengi zaidi hata ya mume kucheat ila tunasahau na maisha yanasonga. labda kama unaamua kumuacha na kutokuwa kwenye mahusiano tena. kama ndio tayari una watoto akili lazma ijitune kusamehe kama bibie hapo.I know, nilijaribu kujitoa ukaunga na kujivika u@gfsonwin wakati namshauri hili.
Toka naww nje ya ndoa angalau mara moja au mara mbili... na ikiwezekana mfanya ajue kabisa.
hii itakusaidia kisaikolojia kujiona huna haki ya kumchukia mmeo kwan nawewe pia umefanya kosaa hilohilo.
Na itajupelekea kua mwepesi kiakili na kusahau yalitotokea
.