Sina hamu na mume wangu

Sina hamu na mume wangu

Noo, umedai kua ukimwacha hutaolewa tena. Sasa swali la kujiuliza Kama uliumia na kusikia wivu kwa mumeo kutembea nje ya ndoa maana yake Uo ni wivu kwa mwanaume, Je ikiwa una wivu kwa mwanaume utaweza ishi bila mwanaume?? HAIWEZEKANI NASEMA TENA HAITAWEZEKANA, na wala hakuna mwanamke mwenye wivu kwa mwanaume hawezae ishi bila mwanaume...Ndipo utakuja kugundua ni rahisi kuongea ila kutekeleza ni ngumu. Kubwa ninalo kushauri dada, kuna kitu Kinaitwa Msamaha katka ndoa ama maisha ya kila siku, wengi hawawezi kusamehe matokeo yake ukaa ni vitu mioyoni mwao vikiwaumiza, amini usiamini wengi wanaojiua ama kupoteza direction kimaisha huteswa na hali ya kutokusamehe na kusahau ivyo ujiruhusu kuishi na maumivu yanayowapelekea kuamua maamuzi mabaya ama yasiyo sahihi yaletayo majuto (Mwisho : Nikuambie tu Wengi waliosema wanaweza kuishi bila kua na mwanaume uishia kuwa mama Huruma na kumpa kila mtu, kama nilivyoeleza kwenye moja ya comment zangu huko juu, wamejawa misongo ya mawazo na matatizo ya Kisaikolojia)
NDOA NJEMA

Kwangu inawezekana tena inawezekana, wambie wanaume wenzio waache uzinzi ndoa zidumu la sivyo ni kuachana tu ndio suluhishi
 
Acha ubishi mr wise anachoongea kina ukweli sana tu...ngoja ukae at least two yrs ndo utamkubali.
Kila la kheri...

Mbona mmenikalia kooni jaman kha kila mtu yuko huru kusimamia anapoona pana mfaa, nami ntasimamia hapo hapo nilipo
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ndugu yangu... HAO NDIO WANAUME. Baadhi yao huwa hawatosheki kabisaaaa.. wana tamaa kama fisi na nyama.!
 
Mkuu mr.wise you have spoken well...nimefuatilia majibu yako kwa kina.
QUOTE=Mr. Wise;8954191][COLOR=#0000ff[SIZE=3]Noo, umedai kua ukimwacha hutaolewa tena. Sasa swali la kujiuliza Kama uliumia na kusikia wivu kwa mumeo kutembea nje ya ndoa maana yake Uo ni wivu kwa mwanaume, Je ikiwa una wivu kwa mwanaume utaweza ishi bila mwanaume?? HAIWEZEKANI NASEMA TENA HAITAWEZEKANA, na wala hakuna mwanamke mwenye wivu kwa mwanaume hawezae ishi bila mwanaume...Ndipo utakuja kugundua ni rahisi kuongea ila kutekeleza ni ngumu. Kubwa ninalo kushauri dada, kuna kitu Kinaitwa Msamaha katka ndoa ama maisha ya kila siku, wengi hawawezi kusamehe matokeo yake ukaa ni vitu mioyoni mwao vikiwaumiza, amini usiamini wengi wanaojiua ama kupoteza direction kimaisha huteswa na hali ya kutokusamehe na kusahau ivyo ujiruhusu kuishi na maumivu yanayowapelekea kuamua maamuzi mabaya ama yasiyo sahihi yaletayo majuto (Mwisho : Nikuambie tu Wengi waliosema wanaweza kuishi bila kua na mwanaume uishia kuwa mama Huruma na kumpa kila mtu, kama nilivyoeleza kwenye moja ya comment zangu huko juu, wamejawa misongo ya mawazo na matatizo ya Kisaikolojia)[/SIZE][/COLOR]
NDOA NJEMA
[/QUOTE]

Asante mpendwa wangu nazidi pata moyo sana
 
Last edited by a moderator:
Nimekumbuka kuna story kule anasema kapewa mimba akiwa form two akajifungua akarudi shule jamaa alimkimbia sahv kamaliza kapata kazi afu eti jamaa kaparalyze now sahv ndo anataka warudiane waoane

hahahaaaaaa kazi kweli kweli kumbe ...............,

ndio maana mtu mmoja page ya kwanza kabisa alisema
 
Kuna picha iko kweny mitandao ya kijamii


Bosi amemuinamisha sekretari
Huku anakula mzigo.

Ndo yeye nn??
 
Back
Top Bottom