Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,898
Mumeo anatakiwa awe msaada wa kwanza katika hili, azidishe upendo mara mbili na aoneshe kwa vitendo kuwa anajuta kwa alilofanya.
na kweli maana suprise zingine mtu huishia kujisuprise mwenyeweee badala ya kumsuprise the supruisee:loco:
Mirembe hospital kuna kitengo cha ushauri nasaha kwa watu wenye majanga km wewe kabla hamjawa completely insane
Wasiochepuka wapo ingawa wachache na hilo swala la uvumilivu lina kikomo mana mtu akifikia kukuletea watoto nyumbani hizo dharau zimevuka mipaka unaamua kuondoka zako tu labda kama umemfanya huyo mume ndio mwokozi wako huna maisha bila yeye familia nzima inawangalia dada kaolewa
hauko peke yako hata mimi nina hilo tatizo mimi wa kwangu nilikataa kushuhudia tukio lkn kwa taarifa na uhakika nilionao nikama nimeshuhudia tukio kinachonitokea ni kwamba nimemchukia zaidi ya adui yangu ila hajui sijafanya nae mapenzi bado ila sijui naanzia wapi kupanua miguu yangu aingize dushelele lake tena humu yaani naumia nafsi yangu vibaya mno kibaya nimeanza kuapenda mtu mwingine na sijutii kua nae wala kusex nae na enjoy hata akinigusa ukucha ila yeye nimemchukia nahisi kila atakacho nifanyia nitakichukia maana akili yangu inanipa picha ndicho alichokifanya na wenzangu wengine
Vipi na mchezo (K) Utampa?
Kwa avatar hiyo, sasa hivi utapata wa kukutia hamu ya 'ku-have sex:biggrin1:'
Ningekuwa na kampuni ningekuweka kitengo cha marketing, unaimudu sana hii kazi.
Hapa kuna some sort of 'strategic scenario with matangazo at work'. I too much read between the lines, hadi kuna saa najikuta na-read between the legs.
we ni mchaga eeeeDada una moyo...mm ningelipua hyo ofisi na petroli..loh!!😱:thumbdown:
Duh story za jf bana teh leo nimeolewa, kesho am 30 sijaolewa, kesho kutwa am single mom....
hauko peke yako hata mimi nina hilo tatizo mimi wa kwangu nilikataa kushuhudia tukio lkn kwa taarifa na uhakika nilionao nikama nimeshuhudia tukio kinachonitokea ni kwamba nimemchukia zaidi ya adui yangu ila hajui sijafanya nae mapenzi bado ila sijui naanzia wapi kupanua miguu yangu aingize dushelele lake tena humu yaani naumia nafsi yangu vibaya mno kibaya nimeanza kuapenda mtu mwingine na sijutii kua nae wala kusex nae na enjoy hata akinigusa ukucha ila yeye nimemchukia nahisi kila atakacho nifanyia nitakichukia maana akili yangu inanipa picha ndicho alichokifanya na wenzangu wengine
JF ya kuungaunga hii!!