shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,370
ila jamani sijui kuna power gani kwenye uc.hi na m.boo. yaani mtu akikucheat maumivu yake hatareeee.
Tatizo unakuwa unakumbuka anavokufanya kwenye 6*6anamfanya hivyo mwingine inaumaje we acha tu
ila jamani sijui kuna power gani kwenye uc.hi na m.boo. yaani mtu akikucheat maumivu yake hatareeee.
Mawazo yako ni mazuri tena yana ukweli, ila Je uliusoma uzi kwanza??point nyingi umeongea ni za kweli ila nje ya uzi.
Mpendwa mrsleo you better pray not to fall in that issue, am telling u!!mwambie anaye ku support asome huo uzi vizuri kisha ajibu kulingana na uzi, majibu yake mazuri ila hayahusiani na Uzi. Mwisho ajibu maswali uliyoshinda kuyajibu.
kumbka pia ata hyo mume unaemng'ang'ania hautokaa nae milele ipo sku kifo kitawatenganisha ..maisha mafupi bwana ya nini kujipa stress na kuzdi kuyafupisha?..kwani wajane hawaishi?,tna wwngne watu wazmaa hawategemei kuolewa ata na sometimes ata Mali wanadhurumiwa na ndugu Wa mume bt una fight maisha yanaenda sembuse kumtosa??aahh acheni masihara bwana ..maana asipokuuua Kwa ukimwi atakufa yeye Kwa ukimwi au wote muwaache watoto yatma..inakuwa worse impact si bra nijipange kukuacha strategically...Mungu ana maana yake kukupnyesha ana maanisha back off!sa ukiendelea kun'gang'ania udidhani atakulinda Kwa lolote na huyo mwanaume hutomsaidia atakuona zuzu so be guaranteed hatoacha kukucheat tna atazdisha..subirin kama kweli huu Uzi na we bidada bdo upo nae ..huchukui round utakuja na Uzi Wa kilio kikali zaidi ya hiki.next time atalala nae hapo chumbani kwenu..kabla hajajipanga kukufukuza kabsaaMpendwa mrsleo you better pray not to fall in that issue, am telling u!!mwambie anaye ku support asome huo uzi vizuri kisha ajibu kulingana na uzi, majibu yake mazuri ila hayahusiani na Uzi. Mwisho ajibu maswali uliyoshinda kuyajibu.
Maswali gani?mbna naona kayajibu yote?au kuwa atavunja ngapi?..kaka yangu ngja nikuulize..wewe ukimfumania mkeo hvyo utamganda eti kisa utaacha wangapi?au mmejijenga etc ??..ukumbke side effects zake ni kubwa kuliko hzo Mali znazokugandsha hapo.na kama mali ndio mada kuu mbna ishu ndogo?unaeza usimuache immediately but uka play gold digging taratbuu ukacheza zle rules za kna miss chaga!!hahaha sawa sawa nachukua changu mapemaa yaan nakuacha strategically ukja kushtukia sipo na nakuacha kapa hapo.kila ktu kinawezekana ukijipanga,inaanzia kichwani kila kitu ni unavyojipanga.watu wanadhurumiwa,wanavamiwa wanaporwa kila kitu wana anza moja!sembuse kumuacha mwanaume mzinzi ambapo una mda Wa kujipanga?..,tna bora ujipange kujisepea mapema I tell you..cz sku hao vmada wakimnogesha tna msiwachukulie poa kabsa mwanamke anaekuibia mume yupo very clever anafanya juu chini akupindue skuhiz mpaka uchawi wanatmia...so sku zkimuingia fresh utabalaswa hapo na vikoba vyako na watoto afu ndo utajipanga sasa..huwez Kulazmisha ndoa maybe hauja andikiwa unakubali tuu by the way Mungu hakupi jaribu kubwa kuliko uliwezalo..ukiona limekupata bsi unalimudu. ..there are lot of happy single mother's out there going great!!..ndoa sio kifungo ni commitment.. once broken hakna ndoa tna hapo ni kuachana tuu
muke ya muyahudi Tatizo point zako zime base kwenye vimada, nikirejea uzi husika!!Mtoa uzi kamfumania mumewe na hakuna sehemu aliyosema ni zaidi ya mara moja,or twice ama kusema mumewe ni mtu wa vimada. Na baada ya ilo amemsamehe, ila anasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya kumhudumia mumewe na si kwamba eti mumewe ni mtu wa vimada kama point zako zilipolalia, kuhusu maswala ya single mother's labda nikwambie tu wengi wa hao single mother's ambao bado damu inachemka ni watu wanaotoka na watu tena si ki halali/kificho tena hata waume za watu labda kama uwe single mother mwenye miaka zaidi ya 50yrs, Ebu tujaribu kuwa wawazi jamani, Hivi mtu kama ulijisikia wivu mumeo kufanya mapenzi/uzinzi na mtu mwingine, Je uoni kua bado unayo hali ya kumtamani mwanamume ndani yako, sasa kwa hali iyo unaweza kweli kua single mother???Matokeo yake utajiita single mother uku ukiishia kuzini bila ndoa huko nje, hata sasa ninapoongea na wewe kuna watu zaidi ya watatu ninao wajua hapo TZ ni jirani zangu wanajiita single mother kumbe, wanawanaume mafichoni, mbaya zaidi mmoja wa hao ma single mother ni ndugu yangu kabisa so siongei kwa kukurupuka, alafu Uyo Mungu anayesema akupi jaribu ndio uyo aliyesema Tusamehe...Je kuna kosa linalostahili msamaha na lisilo stahili msamaha??Je uliwahi kukaa hata na mumeo ukamuuliza ni nini tatizo mpaka alitoka nje??TUSIKIMBIE TATIZO TUTATUE MATATIZO, ukilikimbia tatizo unaweza kuta unaenda kukutana nalo tena uko mbele ama ndio unaingia kwenye tatizo kubwa kupita ilo...mfano sasa ona iyo red unakimbia kosa moja la mumeo unaenda kua Gold digger duh

So what Mr unataka kuniambia huyo ilikuwa Mara yake ya kwanza and Kwa kumsamehe ataacha?..kama sio mtu Wa vimada then what happened? alimdondokea saana hyo secretary akashndwa kujizuia??if that's so then that's a severe case aisee...Mungu amesema tusamehe sawa but sio kuwa wajnga.msamehe bt tafta namna ya kujikinga..jambaz aingie ndani kwako usku ushtke na pistol um target..akuombe msamaha..ujibu nimekusanehe..mcheke umpe na soda anywe afu uingie ndani ulale fofofoooo?,...aah jaman ata Musa aliruhusiwa kumuangamiza farao
Kuwa gold digger Kwa Mali yako mwenyewe na kujihami for your family's future au kukaa unasubiri maradhi ,kifo,na kutelekezwa kipi bra?by the way sio Ku gold dig in such nilitmia tuu hyo verb hapo kufit mtazamo wako.bt kiukweli ni kuchukua tuu haki yako na tna kama ana akili hyo mwanaume atakuja kukushikuru bdae

Vipi na mchezo (K) Utampa?Adhabu yake ndogo sana unarudi nyumbani unakata keki unainjoy na watoto simuulizi wala sitaki samahani yake naendelea na majukumu yote kama mke. Sitakaa nimuulize namwacha na linafsi lake limsute akisubiria nimuulize nakuhakikishia ataumia kuliko ukimuuliza na kumgombeza.
Sipingani na mwazo yako hata kidogo, ila tatizo ni kua mawazo yako yanaingiza conditions ambazo hazipo kwenye main thread!!Kama umesoma vizuri iyo post yangu iliyotangulia utakua umenielewa, maana nimejaribu kukuwekea na mifano.Mmh nyakati za Musa ni tofauti na za Yesu, ndio maana kwa Musa yule mwanamke mzinzi alipaswa kupigwa mawe na kuuwawa ila kwa Yesu hakupigwa mawe, mstari mwekundu, Ipi ni ujinga kusuruhisha tatizo na mumewe ama kumuacha na kwenda kua Gold digger??
Ebu nijaribu kukuuliza, hivi hakuna wanao cheat ambao bado hawajawahi kufumaniwa????Je hao nao hawawezi kuleta magonjwa?? ama unao uhakika mumeo hajawahi kuku cheat???swala hapo si kwamba unaogopa magonjwa maana hata usipomfumania kama mtu ana cheat magonjwa yako pale pale...We omba Mungu kaa nae vizuri jua matatizo yake rekebishaneni maisha yaendeleee, la sivyo utakua ulikimbilia kuolewa na wrong person na wala hukumfahamu vizuri
Sipingani na mwazo yako hata kidogo, ila tatizo ni kua mawazo yako yanaingiza conditions ambazo hazipo kwenye main thread!!Kama umesoma vizuri iyo post yangu iliyotangulia utakua umenielewa, maana nimejaribu kukuwekea na mifano.Mmh nyakati za Musa ni tofauti na za Yesu, ndio maana kwa Musa yule mwanamke mzinzi alipaswa kupigwa mawe na kuuwawa ila kwa Yesu hakupigwa mawe, mstari mwekundu, Ipi ni ujinga kusuruhisha tatizo na mumewe ama kumuacha na kwenda kua Gold digger??
Nina uhakika hajawahi.how?hyo siri yangu.bt pia jamani Mungu ana kazi ...ukione kisu kile kimetegeshwa..ukajichome uku unaomba Mungu kisikuingie..ilihari amesha kuonyesha kuna kisu Hapo..bra angekuwa hajakuonyesha angefkiria kuki save aisee