kwahiyo ni sawa mume kucheat ndani ya nyumba?
Mbona mmenikalia kooni jaman kha kila mtu yuko huru kusimamia anapoona pana mfaa, nami ntasimamia hapo hapo nilipo
Hao wamekukalia kooni cz huo msimamo wako unawachoma.ujue ndoa nyingi skuhiz majanga,na hii Mimi naona tunaiendekeza wanawake wenyewe!!..tumewaharalishia as if ni kitu normal,,this is madness..mrsleo be happy..men are who we are..kama una huo msimamo am sure you are smart enough kumjua akifanya ushenz..so my dear usiwaskilze hao wanajitahidi kuambukiza msiba wao uwe Wa wengi..si unajua msiba Wa wengi harusi?..mwanaume Wa kwako kama anakupenda atakulinda..and hii includes kuwa mwaminifu.mwanaume asiye mwaminifu ana kuexpose kwenye maradhi ata yasiyotibka,presha za kila kukicha unapungza life span yako bure,pia hao vimada sio wajnga wakubali kuwa vimada milele.mwanaume anapokuwa na wanawake nje ajue wazi anamtangazia mkewe uadui na hao michepuko tna anawapa nyufa ya kupitia kuiangamiza familia yako ..mke,watoto,etc ilimradi tuu wao watake over!!sa jamani ata kama wenzangu mna mioyo gani hawajali je hizi risks mna afford vipi kuzi take?unakubali kujiangamiza wewe na familia kisa mwanaume ?mwanaume asiekuthamini ana thamani kwako kuliko watoto wako?God for bid eboo Nina eleven years kwenye ndoa..na ninathubutu kusema sichekei uzinzi ..yote ntavumilia sio uzinzi tna hzo surprise ndo zangu haswaa...!!na sjawah kuwa disappointed..eti uogope surprise Kwa kuogopa kufumania?sa utamjuaje?au ndo unamjua hutaki kushuhudia ?whom are you fooling ?guys cmon!!ebu tufkirie logically jamani...enjoy ndoa yako my dear and trust me am your type... wanawake type yako Tupo and we rarely end up being dis appointed..so rare ofcz ceteris peribus!!!!...

Hii msg natamani sana waipate kina Gwamahala na Mr. Wise

Power iko moyoni, wala si kwa sex organs; na maumivu yapo huko huko kwa moyo. Ndio maana waweza sex na mtu usomfeel na hata ukisikia yuko na mtu mwingine usiumie. Lkn mtu ulompenda na uliyemuamini, it hurts more than death itself.
Sasa wewe Tesha mke wa mtu unampa namba yako ili iweje?
Mh; kama ni kweli pole sana Nakshi, jitahidi sana kusahau kama bado unaithamini ndoa yako, vinginevyo usiache kumtembelea mmueo ila ss iwe kwa tahadhali ya kuepuka kuumizwa tena na hivyo umtaarifu ukiwa unaenda kwake badala ya surprise!