Simwelewi rafiki yangu anataka nini kwangu

Na mimi ninaogopa kumuudhi, niko mwangalifu sana nikiongea nae.
Kwani wewe huna mchepuko hapo ulipo, manake nionavyo mwanamke kukaa miaka minne bila mchepuko ni sawa na karne ?

Dah! Nahisi jamaa anavyoteketea ndani kwa ndani, hata wokovu wake na Mungu umekua mashakani sana.

Msaidie mshkaji wetu walau Apone na yeye kama unamwona anayo future. Ila mpime afya zenu kwanza.
Si vyema kuendelea kutumia udhaifu wake kula hela yake wakati huna future naye.

Better ask him mapema sana. Na uongoze mjadala huo wewe ili upate majibu unayotaka ila uwe mpole sana wakati unamhoji.

Muulize kama anazo hisia zozote juu yako?
Sio lazima akujibu kwa jibu la essay.(insha) .
Maswali ya True and False yanatosha kumsoma.
 
Jiweke wazi ka mwenzio na Osokoni, na yeye namsubiri alete mrejesho mwingine huyu bibi Osokoni
 
Hajawahi kunisimulia habari ya girl friend, wala hajanitongoza ni mwaka wa nne huu.
Simuelewi
huyu rafiki yangu nisaidieni ndugu zangu.
jitihada gani umefanya yeye kufunguka?
Na mimi ninaogopa kumuudhi, niko mwangalifu sana nikiongea nae.
After four years!!,bado kuna urafiki wa mashaka?..are you really that close?
Ni mlokole, inamaana haamini ngono kabla ya ndoa especially kwa mtu anaedhamiria kabisa kuwa nae. Pili kuna wakati aliniambia urafiki wetu umekuwa deep sana kiasi ambacho asingependa uvunjike.
sijui kama hiyo ni nukuu ama uliitafsiri hivyo,Yaani ulishindwa hata kuhoji alikuwa na maana gani..?
Asante sana kwa ushauri huu, miaka minne ni mingi, na kanisani hata nisipotokea wazee wa kanisa wanamuuliza yuko wapi mwenzako? Watu wengi hawaamini kuwa hatuna mahasiano.
mahusiano yapo,ila so far ni ya ''Urafiki wa Kawaida''
He is a good looking guy with a gentleman's behaviour.
kama kweli ana characters za U''gentleman'' kwa nini unasita mwaka wa nne huu kumfungukia,Nadhani hujajiandaa for a ''NO'' as an answer.
Kwa hiyo Eclat una miaka minne bila kuloweshwa???
Kwakweli hapa jibu sina.
wanaosoma between the lines washaelewa

nb:wewe huwa ni mshauri mzuri tu humu,ila hapa kwenye tukio linalokuhusu umeshindwa kujiongeza kwakweli.
 
Asante sana kwa ushauri huu, miaka minne ni mingi, na kanisani hata nisipotokea wazee wa kanisa wanamuuliza yuko wapi mwenzako? Watu wengi hawaamini kuwa hatuna mahasiano.
Kwahiyo na ww miaka yote hio minne, hujaBANJUKA??!!.. Mbona kama mapicha picha
 
Zipo steps za kupitia kumpata mke mwema, sio kukurupuka kutongoza! Huyo kalenga mbali na anajua anachokifanya ... kama kweli nawe unajua unachokifanya basi endelea kuwa wazi kwake. Usifiche tabia zako - ziwe mbaya au nzuri.
 
Ninaogopa nikimueleza inaweza kuvunja urafiki wetu, jamaa ni mlokole, pili si elewi kama ndiye yeye niliyeletewa jamani mwaka wa nne huu sijui tunaelekea wapi. Pia hua ananipikia chakula nikiwa nimechoka, analeta kwenye hot pot.
Usiharibu mambo kwa dhana usio na yakini nayo. Kuwa rafiki mwema kwake, hata kama ni miaka 100 kama alipaswa kuwa wako atakuwa wako. Kwa sasa enjoy vihot pot na msosi ila siku akifunguka rasmi jitayarishe na ligwaride la ngunga ya miaka 4 maana anajitunza kwa ajili yako.
 
Asante mkuu😛
 
Ninaogopa nikimueleza inaweza kuvunja urafiki wetu, jamaa ni mlokole, pili si elewi kama ndiye yeye niliyeletewa jamani mwaka wa nne huu sijui tunaelekea wapi. Pia hua ananipikia chakula nikiwa nimechoka, analeta kwenye hot pot.
hujaolewa bado kumbe?
 
Siku moja mchukue mkajifungie kwenye Chumba kimoja uone atakufanya nini
 
Ninaogopa nikimueleza inaweza kuvunja urafiki wetu, jamaa ni mlokole, pili si elewi kama ndiye yeye niliyeletewa jamani mwaka wa nne huu sijui tunaelekea wapi. Pia hua ananipikia chakula nikiwa nimechoka, analeta kwenye hot pot.
yesu na maria unabahati
 
Ninaogopa nikimueleza inaweza kuvunja urafiki wetu, jamaa ni mlokole, pili si elewi kama ndiye yeye niliyeletewa jamani mwaka wa nne huu sijui tunaelekea wapi. Pia hua ananipikia chakula nikiwa nimechoka, analeta kwenye hot pot.
mtongoze huyo,,
unajua sisi madomo zege ni wazito mno kutongoza,wewe jitoe tu mhanga kamaunamfeel.
Hakuna kitu domo zege hapendi kama kukataliwa,aand that is why wanakuwa madomo zege,sio kwamba hajui kutongeza bali huwa wanajiuliza ,akinikatalia itakuaje..
 
Back
Top Bottom