Haina shida wee nenda nae mdogo mdogo tuu. Ameamua kwenda london kwa mguu huyo wengine wanaendaga kwa ndege na wanafika ndani ya siku moja.Ningeelewa kama ingekuwa company tu, sasa na mambo ya kuniwekea pesa kwenye bahasha nayo ni company?
Kwa hiyo Eclat una miaka minne bila kuloweshwa???Kwakweli kusubiri miaka minne ninaisoma namba.
Ananipikia vyakula wanavyokula sehemu anayotoka, na siku za kwanza alikuwa anapenda nile anione kama nimependa, mengine alikua anasoma amemaliza mwaka jana, ninajua anajenga nyumba kwani alipo amepanga.Hivi amjawai kukaa na kuongelea malengo yenu. Mfano yeye kukuambia anataka kuoa akiwa na umri gani au mwaka upi, na wewe kumueleza malengo yako? Ni vizuri km marafiki kushirikishana malengo na wote kujua kesho yenu.
Ananipikia vyakula wanavyokula sehemu anayotoka, na siku za kwanza alikuwa anapenda nile anione kama nimependa, mengine alikua anasoma amemaliza mwaka jana, ninajua anajenga nyumba kwani alipo amepanga.