Simwelewi rafiki yangu anataka nini kwangu

Simwelewi rafiki yangu anataka nini kwangu

Huyo ni type ya walokole madomo zege warahisi kuongea ila hawatamki wanalotaka ,,,,,miaka 4 ni mingi sana
 
tumesha kaa hivyo, tunakula, tunawatch news, tuanongea tunasali na mwisho anaaga na kwenda kwake.
Okay.

Ila najua wewe ni mzoefu sana wa mambo ya kwichikwichi so siku moja mchukue au hata kesho mpeleke kwako au Lodge anza kumfanyia utundu ili uone kama jogoo yupo active au useless ili usipotezee muda wako kuwa na mtu ambaye huenda mashine haifanyi kazi.

Jitahidi ufanye hilo jaribio mkimaliza mwambie shetani kakupitia mpaka umefanya hivyo.
 
Mkuu si umuulize kiaina kuhusu baby mama wake labda jamaa anataka ugundue mwenyewe kuwa kwako ahemi
 
tumesha kaa hivyo, tunakula, tunawatch news, tuanongea tunasali na mwisho anaaga na kwenda kwake.
Teh teh teh! Si huwa mnapenda kuwa na maboyfriend wa hivyo...

Dah, mnakula, mnawatch news, mnasali na mwisho anaaga. Wakati huo sky anatamani jamaa aingie maungoni..teh teh!!
 
Habari za kutwa waungwana,

Nina rafiki tumefahamiana miaka minne iliyopita, kufahamiana kwetu tulikutana kwenye sherehe na tulikaa viti vya karibu na tuliongea na kucheza mziki pamoja.

Wakati sherehe ikiendelea nilianza kufikiria usafiri wa kunirudisha nyumbani, nilianza kumuuliza jinsi nitakavyopata tax, aliniuliza kuelelekea wapi? Hapo ndipo niligundua ni jirani yangu kabisa. Tulichukua tax moja, na baada ya pale tulibadilishana namba za simu.
Kesho yake alinipigia simu, alinialika niende kanisani kwao, nililipenda lile kanisa, niliendelea kusali pale kwa muda. Nilikuja kufahamu huyu kaka ni mlokole wa kufa mtu, mara nyingi ananipigia simu tunachat, mazungumzo mengi ni current affairs, dini, na mara nyingine ananipa offer za dinner.

Kuna wakati nilimwambia nitakwenda nyumbani kuwaona wazazi, aliniambia nisiondoke bila kumuaga, siku ninaondoka alikuja na bahasha nzito. Niliifungua nikiwa njiani, aliniwekea mpunga wakueleweka. Nilimtumia message ya asante, alinijibu asante na karibu. Nilivyorudi nilimfahamisha nimerudi basi.

Hajawahi kunisimulia habari ya girl friend, wala hajanitongoza ni mwaka wa nne huu.
Simuelewi huyu rafiki yangu nisaidieni ndugu zangu.
hoyo jamaa zoba anafikiri ipo siku atakupata kwa miujiza yawezekena anakupigia maombi Mungu aje awakutanishe tu kwa upako mtakatifu dah noma kweli
 
Teh teh teh! Si huwa mnapenda kuwa na maboyfriend wa hivyo...

Dah, mnakula, mnawatch news, mnasali na mwisho anaaga. Wakati huo sky anatamani jamaa aingie maungoni..teh teh!!
😀😀😀
 
Wanawake tatizolenu mtu akiwatendea wema tu huwa mnawaza kumzawadia papuchi huenda jamaa hana mawazo hayo yeye anakuchukulia kama dada tu so usije ukavunja urafiki kwa fikra zako hasi kwa mlokole wa watu.
 
Sky Eclat pamoja na kukupikia chakula na ukarimu wake lakn mm naamini kilicho kulainisha na kikuweka ktk maswali mengi ww kias kwamba akikuomba papuchi huwez kumkatalia ni zile Pesa alizokupa..

Kweli nmeamin ukitaka kumroga mwanamke akukumbuke mpe hela

Hilo jamaa lako nalenyewe joka la kibisa linakuangalia tu mwee ww ngoja walitafunie wenzake
 
Back
Top Bottom