Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
Mtekenyo full
Ningeelewa kama ingekuwa company tu, sasa na mambo ya kuniwekea pesa kwenye bahasha nayo ni company?
Mvuto wa kutoka Dinner unao lakn wa mambo ye2 ndio upo kdogoInawezekana, lakini anaiomba tutoke kwa chakula kwenye hoteli nzuri, sasa kama sina mvuto mbona haoni haya kwenda na mimi in public places, pia tunakwenda wote kanisani J2.
Kanisa gani hilo mnaloenda pamoja?Inawezekana, lakini anaiomba tutoke kwa chakula kwenye hoteli nzuri, sasa kama sina mvuto mbona haoni haya kwenda na mimi in public places, pia tunakwenda wote kanisani J2.
Sasa si anakusaidia kama rafiki yako? Urafiki si ni kusaidiana pia?Ningeelewa kama ingekuwa company tu, sasa na mambo ya kuniwekea pesa kwenye bahasha nayo ni company?
Ningeelewa kama ingekuwa company tu, sasa na mambo ya kuniwekea pesa kwenye bahasha nayo ni company?
Well, kusema ukweli hata lile kanisa nililipenda kwajili yake, lakini sioni maendeleo.Sasa si anakusaidia kama rafiki yako? Urafiki si ni kusaidiana pia?
Hivi ninyi wanawake huwa mnataka nini? Mara nyingine mtu akifanya hivyo then akakutongoza mnasema ooh.. kwani hatuwezi tu kuwa marafiki bila ngono?
Wanawake huwa hamueleweki na hamna msimamo.
HahahaaaSiku nyingine mkikutana muulize kama amepata maono au la,maana kama ni mlokole atakuwa anasubiri maono au aoteshwe
comment tu mkuu hawezi kosa poziNgoja tu nikuache,mana ntacomment kitu unaweza ukakosa pozi
Habari za kutwa waungwana,
Nina rafiki tumefahamiana miaka minne iliyopita, kufahamiana kwetu tulikutana kwenye sherehe na tulikaa viti vya karibu na tuliongea na kucheza mziki pamoja. Wakati sherehe ikiendelea nilianza kufikiria usafiri wa kunirudisha nyumbani, nilianza kumuuliza jinsi nitakavyopata tax, aliniuliza kuelelekea wapi? Hapo ndipo niligundua ni jirani yangu kabisa. Tulichukua tax moja, na baada ya pale tulibadilishana namba za simu.
Kesho yake alinipigia simu, alinialika niende kanisani kwao, nililipenda lile kanisa, niliendelea kusali pale kwa muda. Nilikuja kufahamu huyu kaka ni mlokole wa kufa mtu, mara nyingi ananipigia simu tunachat, mazungumzo mengi ni current affairs, dini, na mara nyingine ananipa offer za dinner.
Kuna wakati nilimwambia nitakwenda nyumbani kuwaona wazazi, aliniambia nisiondoke bila kumuaga, siku ninaondoka alikuja na bahasha nzito. Niliifungua nikiwa njiani, aliniwekea mpunga wakueleweka. Nilimtumia message ya asante, alinijibu asante na karibu. Nilivyorudi nilimfahamisha nimerudi basi. Hajawahi kunisimulia habari ya girl friend, wala hajanitongoza ni mwaka wa nne huu.
Simuelewi huyu rafiki yangu nisaidieni ndugu zangu.