Bila shaka wale waliotubisha sana kwamba baadhi ya misikiti hapa Dar es Salaam kuna mafunzo ya karate yenye kuashiria mafunzo kigaidi kutokana na mafunzo hayo kuambatana na matumizi ya majambia na morali wanayopewa kufanya mauaji dhidi ya wakristo. Haya yote ni utekelezaji wa maelekezo ya Sheikh Ilunga alipowaasa vijana wa kiislam kuwaua Wakristo hususani Maaskofu na Mapadre kama tulivyoona matukio kule Zanzibar, Arusha na Dar ni matokeo ya mahubiri ya chuki ya dini yanayotolewa na baadhi ya waislam. Tunaitaka serikali isiwe inapuuzia taarifa zinazotolewa raia wema kuhusu mafunzo ya kigaidi ndani ya misikiti kwa mfano msikiti mmoja Vingunguti, chuo kimoja ndani ya kisiwa cha Ukerewe ambako tulielezwa kuwa wahusika hata walifikia hata kupiga marufuku dala dala kupiga nyimbo za Kikristo. Sisi Wakristo tunathamini sana michango mbalimbali inayotolewa na waislam wenye mapenzi mema.