gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
kwa tukio la soweto kusema kwamba huyu jamaa alihusika ni uongo usio na kipimo kwani pale soweto bali na bomu zilitumika bunduki za kawaida na maganda ya risasi yalionekana sasa haingii akilini kwamba huyu jamaa aliusika