Yaani waananchi wangeni bhana hawana shukrani kweli ni matukio mangapi ya Uhalifu na watu kumwagiwa tindikali yametokea huku arusha Leo jeshi LA polisi linakamata mhalifu watu wanamtetea inashangaza sana polisi wasipo kamata watu wanalalamika eti kwamba jeshi LA polisi halifanyi kazi wakikamata watu wanatetea wahalifu hivi nyie binadamu gani? Jeshi LA polisi linapaswa kupongezwa kwa kazi walioifanya hongera sana pt endeleeeni hivyo hivyo sisi humu katika mitandao tunawasaidia tunawaungamkono msichoke kwani humu wengine ni kama hao mliowakamata yaani wahalifu wanatumia mitandao ya kijamii kuwarudisha nyuma nasema tens hongereni polisi kwa kazi nzuri. Watu wamesahau matendo ya ugaidi Leo Hi wanawaunga mkono kweli ubinadamu kaxi.
Nimefikiri na kutafakari nikaona ya kuwa ukiwa mpenzi wa kitu flani lazima utakitetea kwa kila hali uwezavyo, hivyo
Nimeona ya kuwa wote wanaolilaumu jeshi la polisi
Pengine wapo ambao ni Wafuasi wa huyo marehemu ama
Ni watendaji na wapenda maovu ndo maana wanalalamika
Na kwa kitendo cha huyo mhalifu kufarki
Hebu tujiulize maswali machache tu
Kwa kitendo cha kumuua huyo mhalifu aliyekuwa anaangamiza maisha ya raia wasiokuwa na hatia ni nani alaumiwe kati ya jeshi la polisi na huyo mhalifu?ni lipi walichokifanya polisi kibaya sana?na kama wasingemkamata je raia tusingelaumu?pengine polisi walichelewa kidogo kumkamata lakini tuelewe ya kuwa so kosa lao ila kwa upande mwingine ni kosa letu sisi raia maana polisi si mungu waweze kujua bila taarifa kutoka kwa
Raia wema,na miongoni mwetu wapo waliokuwa wanawafahamu hawa watu wahalifu lakini kwa sababu tunazozifahamu sisi wenyewe hatukuwasema kwa polisi
Hatukutoa ushirikiano mapema hivyo ndiyo maana zoezi
Nalo likachukua muda mrefu kidogo.
Polisi wanasema wamemkamata mhalifu badala ya kuwapongeza kwa kazi nzuri wewe unaanza kubisha hapana siye huyo hapohapo hutuambii ni yupi mbadala wake huyo unayemfahumu wewe, umeamua kubisha tu
Haya polisi wanasema angekufa na sababu wamezitoa
Kwamba alikuwa anawatoroka wakampiga risasi wewe
Unakataa hapana alikuwa hatoroki tena unasema polisi
Sabas ni waongo bila kutupa mealezo ikiwa ulikuwepo sehemu ya tukio na nini ulichokiona
Umeamua tu kukataa kwa sababu una chuki na polisi
Maana wewe ni shabiki wa uhalifu na wahalifu maana wewe
So mpenda amani.polisi wapo kwa ajili ya kulinda amani hivyo wakati mwingine waache wafanye kazi yao na inapotokea wakafanya kwa mafanikio hawana budi kupongezwa pia
Ni vizuri tungetumia muda wetu humu kuandika na wale wahalifu wengine unaowafahamu ambao pengine hawapatikana ama pengine hawajajulikana bado ili
Tuwe tumeshiriki vyema katika kujenga na kulinda amani
Hebu fikiri ingekuwa unajisikiaje ikiwa mmoja wa umpendaye angekuwa ama ni kilema ama ni marehemu
Kwa sababu ya ajali iliyosababishwa na mmoja wa hawa
Wasiopenda amani halafu leo usikie polisi walimkamata
Halafu wakamwachia huru ama wamempeleka mahakamani
Na baadae ameweza kutumia pesa pamoja na wanasheria
Na ameachiwa huru ungejisikiaje?
Nasema HONGERA POLISI TUPO NYUMA YENU !